Maisha ya Preta Yaeda Chini

Nicas Mtei siku hizi hayo ya kunyonya unatakiwa kuwa makini pale wanapaka dawa aise unaweza nyonya ukajikuta kwenye mtaro

Embu funguka zaidi! Usikute wewe ndiye yule jamaa aliyechukua "kitu" hapo Picnic akaendanacho maeneo na kuanza nae malavidavi ya kunyonya nyonya akajikuta Selian akiwa hoi, amelambwa kila kitu na hata hakuwa amefanya ile kitu!
 
Last edited by a moderator:

Embu sema vizuri! Mbona unakatika katika!?
Filipo niko makini siwezi kuokota kitu na bado nikipe malavidavi ya mpaka kunyonya aise
Mwiko kabisa kumpa mtu kama huyo mapenzi motomoto
Ni mwiko kunyonya au kumpa french kiss wenzetu wanasema
ni kile kitu then unachomoka fasta
 
Last edited by a moderator:
Filipo niko makini siwezi kuokota kitu na bado nikipe malavidavi ya mpaka kunyonya aise
Mwiko kabisa kumpa mtu kama huyo mapenzi motomoto
Ni mwiko kunyonya au kumpa french kiss wenzetu wanasema
ni kile kitu then unachomoka fasta

Hapo kwenye red ndio palipoleta shida! Jamaa alipata "rizimu" akapoteza network!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red ndio palipoleta shida! Jamaa alipata "rizimu" akapoteza network!
Filipo ni balaa siku hizi aise
na ukicheza wanalamba kila kitu utabaki na boxer tuu na sijui kwa mkeo utaenda kumwambia ulikuwa wapi
 
Last edited by a moderator:
Filipo ni balaa siku hizi aise
na ukicheza wanalamba kila kitu utabaki na boxer tuu na sijui kwa mkeo utaenda kumwambia ulikuwa wapi
Hahahaha! Ukivaa boxer nzuri pia wanapita nayo lol. Wife itabidi umwambie ulivamiwa na majambazi walobeba vitu vyenye ncha kali lol.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…