Preta usisahau kuniletea madhiwa
Achana na Nicas Mtei anataka yale halisi ya kunyonya mimi nataka ya kibuyu
nimeshagandisha....usiogope.....we si unapenda yale machachu...au yale yenye waduduwadudu.....?
orait.....basi mtakuja kunipokea na sweetlady.....nyie mkiona bhuibhui tu.....(itakuwa imewasha koroboi).....mjue nipo ndani....nitashukia Ngarenaro........
Usiwe na wasiwasi Mr Rocky mie ntaandaa kila kitu!Ngoja kabisa nimwambie sweetlady akuandalie na maji ya kuoga achemshe pipa zima maana ukichanganya na harufu ya moshi na samadi huko itabidi tukuwekee pipa zima la maji na sabuni mche mzima ya mbuni ili uoge na kutakata
Halafu tutakuandalia na mtu wa salon kabisa aje akukate hizo nywele maana zitakuwa zina harufu ya kiloriti
Hujambo kijana??
Hata mimi nimemwona
tena kwa msioiona vizuri hiyo bendera hapo ni hii.......
chezeiya.......
Hahahahaha! Tope jekunduuuu! Mwambie asisahau kutuletea na mafuta ya alizeti!sweetlady afadhali aise maana akiingia na hilo tope lake ndani ya carpet halitakaa ling'ae tena
mwandalie na dobi wa kufua nguo zake maana zitakuwa balaa hazipaswi kuingia ndani ya nyumba
Anashukia Ngarenaro kwa mwenyekiti pale
Subiri nape akipita hapo kwenu umwagize, yeye ndie anajua pa kuzipata hizo nyama!Heeee Preta mie naomba uniletee nyama ya pundamlia kama zile mlizopewa kipindi cha sensa nasikia bado zipo, usiache kuja nazo.
Hahahahaha! Tope jekunduuuu! Mwambie asisahau kutuletea na mafuta ya alizeti!
Mkaa na mafuta alete kwa wingi yatufikishe jan 2013 lol!Nishamwambia kabisa asisahau na madhiwa ya kwenye kibuyu na mafuta ya alizeti
Atuletee na mkaa pia maana kuna shida sana ya mkaa huku