Huna chako tena veve. marejesho yupo kwenye hfadh yangu
Au twende huko badala ya tanga!
Kuna kila dalili ya watu kurudi toka Tanga na ngeu za kutosha!!!!@PakaJimmy usisahau First Aid Kit na kile kitu kinaitwa PF3!!!!
Tanga lazima twende,huku Yaeda itabidi tupatafutie safari!!!
Au twende huko badala ya tanga!
Polisi wakamvua mpaka sarawili??
sikati tamaa
Hakuna mwenye pingamizi hapo. Wote wameridhia
Me like that ... Komaa baba!
Duh!! Nicas Mtei utapigwa fine kama unadanganya!!!
Unarudi lini?
Safari ya tanga ni muhmu kwetu kuliko ile ya kwenda Uchagani kuhesabiwa.
Driver wetu itabidi awe makini sana!!Nimesikia Sharo Milionea katutoka kwa ajali!!!!!
marejesho hebu fanya mpango wa kukutana na Nicas Mtei ili tutege mtego wa TMK ndo itakuwa adhabu yake
marejesho hebu fanya mpango wa kukutana na Nicas Mtei ili tutege mtego wa TMK ndo itakuwa adhabu yake