Complicate ni wewe mbona ukiwa cool na ukawa na true love mapenz huwa matamuYeah ni kweli kipenzi
Mahusiano tuliyonayo ni complicated sana ...mtu kama unaweza kukaa single ni heri
Hahahah umentouch hapo kwa vyupi vipya khaaa..mapenz nyokoo sana pesa ya vyupi 25,000 ukiweka kibubu hujanunua jipsam bod za kutosha nyumbaKwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Nice..Hakuna Raha Kama kuwa single...Hata ukilala baa Hakuna wa kukuuliza.Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Hahahah umentouch hapo kwa vyupi vipya khaaa..mapenz nyokoo sana pesa ya vyupi 25,000 ukiweka kibubu hujanunua jipsam bod za kutosha nyumba
Kabisaaa!Nice..Hakuna Raha Kama kuwa single...Hata ukilala baa Hakuna wa kukuuliza.
Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Nice..Hakuna Raha Kama kuwa single...Hata ukilala baa Hakuna wa kukuuliza.
Wakuu huu utakua ubinafsi wa kiwango cha ubashiteKabisaaa!
Mda mwingine baada ya uhusiano kuna haja ya kuokota vipande na kujikusanya upya.Wakuu huu utakua ubinafsi wa kiwango cha ubashitesorry I mean kiwango cha ulipumbaoops l mean wa kiwango cha phd , watu wote hawa duniani uwe single kweli....
Adam alikua na almost kila kitu pale Aden kasoro smartphone lakini hapakunoga sasa sisi tupo zaidi ya bil 7 unaanzaje kuwa single?
Anywayw I hope pm pako wazi
Mda mwingine baada ya uhusiano kuna haja ya kuokota vipande na kujikusanya upya.
Kuwa single haimaanishi umekosa mtu ni maamuzi tu na kuelewa hasa nini unahitaji na kwa muda gani na nini kusudi la Mungu. sometimz anakuja mtu kabisa unasema nikimkataa huyu i wont have the reasons nor the guts to Blame God!Wakuu huu utakua ubinafsi wa kiwango cha ubashitesorry I mean kiwango cha ulipumbaoops l mean wa kiwango cha phd , watu wote hawa duniani uwe single kweli....
Adam alikua na almost kila kitu pale Aden kasoro smartphone lakini hapakunoga sasa sisi tupo zaidi ya bil 7 unaanzaje kuwa single?
Anywayw I hope pm pako wazi
Lakini angalau unatuliza akilimkuu hizo changamoto tu haziishi mpaka ufe....usiogope kujikusanya upya.....kuwa single sio ndio solution.