Okay, yaishe. Nipo off leo nilikuwa natafuta ubishi.Nadhani tunatofautiana nini hasa kila mmoja analenga!
HUENDA watu wengi duniani wanapenda kuishi US kuliko Norway kutokana na umaarufu mkubwa wa US!
Bila shaka wengi wanatamani kufika Los Angeles au New York bila kuisahau DC kuliko wanavyoitamani Oslo au Bergen!
Hata hivyo, ninachosema mimi sio watu kupenda bali nazungumzia general welfare kati ya US na Norway!!
Man, Norway ipo juu! Na kama nilivyosema, Norway inabebwa sana na idadi ndogo ya watu huku wakiwa na utajiri mkubwa!!
Kinachoisumbua US ni kama China!
Pamoja na utajiri mkubwa wa US, lakini ku-manage a welfare of more than 300M si kazi ndogo!! Miongoni mwao lazima utakuwa na malaki ya makapi wenye umaskini mkubwa; jambo ambalo ni very minimal kwa nchi kama Norway!
Same to China!! Pamoja na kwamba wanakuja sana kasi lakini China kufikia US welfare labda miaka 30 ijayo manake na wenyewe ku-manage a welfare of more than 1B population, sio jambo la kitoto!
2000 nilikwenda Denmark, nilipokuwa transit nilikuwa a na vijana kama 25 wa Kihindi. Tulipanda ndege moja, kumbe kulikuwa na recruitment kubwa sana kwenye IT industry.
Bila kuandamana....hata yesu atarudi hatujafika huko unakokufikiria...jiwe na wenzake ndani ya chama jiwe hawana mawazo hayo.Hizo Scandinavian countries ziko mbali sana mkuu.
.
.
.
Ninatamani ningekuwa nafanya kazi huko. Hakuna rushwa, wananchi wanashiriki kwenye maamuzi ya taasisi zote, vitu vinafanyika kwa uwazi, wanajivunia kupanua huduma za/kwa jamii (serikali haifanyi kama vile ni hisani kuwa na elimu bure kwa mfano).
Ila naamini siku moja Tanzania itafika hapa. Hata kama sitaiona mimi, mwanangu ataiishi. Ndiyo maana siondoki bongo.
[emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Hata mimi nimejikuta natamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malizia malizia ndoto yako nakuja kukuamsha sasa hivi..Hizo Scandinavian countries ziko mbali sana mkuu.
.
.
.
Ninatamani ningekuwa nafanya kazi huko. Hakuna rushwa, wananchi wanashiriki kwenye maamuzi ya taasisi zote, vitu vinafanyika kwa uwazi, wanajivunia kupanua huduma za/kwa jamii (serikali haifanyi kama vile ni hisani kuwa na elimu bure kwa mfano).
Ila naamini siku moja Tanzania itafika hapa. Hata kama sitaiona mimi, mwanangu ataiishi. Ndiyo maana siondoki bongo.
Who want to live in Qatar?!Kwa hili nakubaliana nalo.
Ila kusema Norway ni Qatar ya ulaya ... well, who wants to live in Qatar? Tutofautishe wasomali na mahousegirl na watu wanaotafuta competitive wages in competitive jobs.
Hizo Scandinavian countries ziko mbali sana mkuu.
.
.
.
Ninatamani ningekuwa nafanya kazi huko. Hakuna rushwa, wananchi wanashiriki kwenye maamuzi ya taasisi zote, vitu vinafanyika kwa uwazi, wanajivunia kupanua huduma za/kwa jamii (serikali haifanyi kama vile ni hisani kuwa na elimu bure kwa mfano).
Ila naamini siku moja Tanzania itafika hapa. Hata kama sitaiona mimi, mwanangu ataiishi. Ndiyo maana siondoki bongo.
Ulibahatika kwenda Sehemu moja Inaitwa christiania hapo copenhagen2000 nilikwenda Denmark, nilipokuwa transit nilikutana a na vijana kama 25 wa Kihindi. Tulipanda ndege moja, kumbe kulikuwa na recruitment kubwa sana kwenye IT industry.
Who want to live in Qatar?!
Tell me you're not serious!!
Ni expat wa aina gani ambae asingependa kuishi na kufanya kazi nchi ambayo hata kodi haina huku mishahara yake ikiwa inashindana na nchi za magharibi zenye mikodi kibao?!
Hapana mkuuUlibahatika kwenda Sehemu moja Inaitwa christiania hapo copenhagen
Ova
Ni kweli kabisa magereza yao yako vizuri kama 4/5 star hotel.npo jamaa mmoja hapa ananipa story za Norway ameniambia ukiwa mfungwa tu wa gerezani hautamani tamani kurudi bongo ukweli sijaamini hata kidogo mwenye kujua kuhusu hii kitu plZ