---maisha ya "njozi za kutisha"-- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

---maisha ya "njozi za kutisha"--

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Oct 9, 2011.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160  ...are you the victim of your own success?
  are you living your dream or are you living a nighmare?

  [​IMG]

  una usongo wa mawazo unaotokana na majukumu ya kazi, familia, ie---ndugu, jamaa na marafiki?
  huna muda wa kufurahia mafanikio yako kielimu, kazi/biashara?... kipato hakikutoshi majukumu ya jamii inayokuzunguka?


  [​IMG]

  ...haupo peke yako! ...tena wala haijalishi wewe ni mzaliwa wa kwanza wa kiume au mzaliwa wa kike kwenye familia...


  [​IMG]

  ...
  njia gani muafaka za kuutua mzigo huu wa kuwa tegemeo la familia ili angalau upate kufurahia
  mafanikio ya kisomo chako, ndoa, familia na maisha kwa ujumla?
  ...kwani ni lazima uilee familia na ukoo mzima kwakuwa tu una kazi inayokulipa vizuri?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha watu wakwepe majukumu au?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  living one day at a time is the solution. the one way to failure is to try to please everyone! tell pple the truth on their faces when u ar nt up to something!well,im dying to sleep now,lol!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  mkwe,kuna watu wana majukumu ya kujitakia (while forgetting the vital roles). hujaona watu wako busy na msiba than kumuuguza mgonjwa? last wknd nilipewa kadi ya mchango saluni na mdada,hata hanijui jina langu! ili mradi tunakutana mara nyingi hapo! sasa si wazimu huo?kha!
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dah..................hii ya leo umenibamba! Ninaamini kuwa life ni kustruggle but I also believe that tunahitaji kuenjoy that life. Mbu leo mh! umenibamba!!
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...nice quote king'asti,...nimeupenda ukumbusho huu...
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante Mbu kwa kutukumbusha...ni vema saa zingine tukumbuke pia na sie tunahitaji kufurahia maisha na si kuwajali wengine tu. Asante Mbu
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu, wengine ndio tugemeo letu pekee hivyo kutowasaidia ni kuwakosea sana, wengine maisha ni tofauti sana na wengine hivyo wao ndio waliodunduliza fedha ili kutulipia ada.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi nimeweza siku hizi kuzima simu kwa siku nzima......inaondoa stress zote.....trust me...
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Both dreams and nightmares tend to be intense in terms of their visual, auditory and emotional impact. Nightmares however tend to have the most impact. If you focus upon your desires, you allow yourself to be inspired to follow and live your dreams, sijui kama kuna watu wanajua kitu kinaitwa Hypnosis
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...lol...braza hapo hujatatua bado tatizo, ukiwasha simu tu beep beep----New message!---
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hahaha...the finest bana....nice read that article is...
  je ulikisoma na hiki kipande?

  ---"...If you focus upon your fears you magnify them and give them more power and then you live your nightmares.
  If you focus upon your desires, you allow yourself to be inspired to follow and live your dreams. "---  ...swali langu linaegemea hapa; tukishavuka stage hiyo ya kujitambua, nini kipimo cha mafanikio yetu kimaisha?
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kuna watu hawali vizuri, hawafanyi chochote hata kidogo cha kuwafurahisha wao au waliowazunguka kinachohitaji kutumia pesa (japo kidogo) wakisema wanawekeza kujengea mtoto/watoto future......

  Hili nalo limekaaje?
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hypnosis huku kwetu si tutauana mazee? manake confidentiality ni zero,ukifumua hii kichwa unaweza kukuta weapons of mass destruction,lol!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  very well said! kipimo cha mafanikio iwe 'furaha' kuna mtu kafanikiwa kupata hela, ila nyumbani kituo cha polisi! huko ofcn anakimbia kimbia tu manake sio wadai na wadaiwa wanamsaka! in the end of the day,kama hufurahii maisha, u cant take a deep breath of the so called fresh air, u ar so doomed! its very important to focus on urself and people who matters the most and enjoy life. umenikumbusha mbu, im dying for a hoiliday,lol

   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...hahahah....Gaijin umesema vizuri sana;....rejea maneno ya 'msemakweli' huyu halafu tuanze kujadiliana...

  [​IMG]


  ...wengi wetu tumebambwa kwenye mfumo huu, wazazi walitusomesha, na sasa tunalazimika kulipa fadhila
  kuwasomesha na kuwalea wadogo zetu...

  the circle continues....
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  The subconscious mind attempts to process these emotions and to resolve any hidden and unconscious conflicts
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  King'asti, kujipendelea muhimu, ..."ukitaka!"....lol!

  ....umesema kweli tupu....hizi extended family hizi.....pasua kichwa kabisa!
  kuna mheshimiwa mmoja majuzi alianzisha unyuzi kukemea vibaya sana michango ya harusi na aliyeianzisha...
  ---kizazi cha kudaiwa michango--- na usipotoa jamii inakutenga...! ---hata ukisema huna madhali jamii inaku judge kwa 'mafanikio' yako, imekula kwako hiyo!
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!!! Mbu nitajaribu kujibu swali lako ingawa sijui kama nitakuwa nimepatia sawa sawa kwa jinsi ambavyo utakuwa unahitaji kujibiwa, unajua Mbu asilimia kubwa ya our thoughts are mixture of our perceptions, fears, worries and dreams yaani hatuishii yale maisha halisi hata tukivuka ile stage ya kujitambua kwenye kipimo cha mafanikio yetu ni asilimia chache sana wanaweza kukupa jibu la hilo swali maana some us distort reality in a positive way
   
Loading...