Maisha ya ndoa yamenishinda

Maisha ya ndoa yamenishinda

Hahahhahahhahahahahhahahs Mtani ukoje?
Miss ya.
U gud?
Nimefurahi kukuona

Muke ya mangi, mtani wangu kwema sana...
Hakika miaka imekatiza hapa kati aisee ni muda mrefu...
Nipo nipo mtani nagaa gaa na upwa aisee
 
Juzi nilikuwa na joshua wa jobell

Ha ha ha kumbe ndo yule, ila nilikumbuka sana
Hahaha kanibadilishia product kaniletea cherry ngoja nione sasa maana kanipa feedbacks za wateja wake nimeona nina siku ya 3 toka nianze tumia Joshua nampenda bure tu utasikia nihame uletewe product fake

Ulichukua nini dear
 
Ngoja nikakisome alichonipa nikifika home, alinambia iko vizuri sana na sabuni ake

Mi nimenunua kwa ajili yako ushauri yaan
 
Mi nina siku ya pili leo ngoja tuone

Ila si uhakika eeh?
 
Mimi nadhni maumivu ya kusalitiwa ndio yanayokutesa na sio kingine, swala la nyota halina uhusiano na hoja yako kabisa, kama umeshindwa kumsamehe mwenzio kwa kosa la kucheat, jiweke peimbeni uendelee na maisha mengine bila hivyo utakua unajitesa na kumtesa huyo mkeo, kumbuka life is too short, na tunapaswa kuishi kwa furaha
 
Mi nina siku ya pili leo ngoja tuone

Ila si uhakika eeh?
Vitu vyake uhakika sanaaa namwamini sana Joshua ndio kiboko ya uso wangu

Boutour kanibadilishia kasema sasa hivi haina maajabu chukua hii cherry ndio nimeanza kuipaka

Ulichukua nini
 
Ngoja nikakisome alichonipa nikifika home, alinambia iko vizuri sana na sabuni ake

Mi nimenunua kwa ajili yako ushauri yaan
Hahhaha hana shida uzuri wake anakushauri vizuri tu na ikikukataa anakubadilishia product
 
Vitu vyake uhakika sanaaa namwamini sana Joshua ndio kiboko ya uso wangu

Boutour kanibadilishia kasema sasa hivi haina maajabu chukua hii cherry ndio nimeanza kuipaka

Ulichukua nini
Hii hapa dear
IMG_20201203_202006_3~3.jpg
 
Mimi nadhni maumivu ya kusalitiwa ndio yanayokutesa na sio kingine, swala la nyota halina uhusiano na hoja yako kabisa, kama umeshindwa kumsamehe mwenzio kwa kosa la kucheat, jiweke peimbeni uendelee na maisha mengine bila hivyo utakua unajitesa na kumtesa huyo mkeo, kumbuka life is too short, na tunapaswa kuishi kwa furaha

Huu ndio ushauri ambao hata mimi mwenyewe ningemwambia vivyo vivyo. Maumivu ya kusalitiwa ndio chanzo cha yote hayo anayopitiwa. Huenda hajasemehe kikamilifu, bado ana grudges ambazo kila mara anapomuona mchepuko wa mkewe roho inauma.
Ila kusema ukweli, Njia nzuri ni yeye aamue moja, either Kusemehe na yeye amove on au aendelelee kuumia na hata hiyo michongo huenda pia haiendi kwa sababu .. there are a lot if negative energies drawing him back as he tries to move on.
 
Muda sahihi wa kuanza kuroga..🤣
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Vyovyote Mtakavyosema Najua Mmenielewa!!
😀😁😂😅😄😃😃😀😁😂🤣😅😄😄😏
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Mi nakuelewa.
Inaitwa Self pride.
Inaweza isilete maana kwa mtu mwingine, ila mi nimekuelewa.
Umeumizwa pride yako kiasi cha kujionea hufai, huwezi, hufanikiwi na kila kitu hapo katikati.

Huaminiwa kufumania ni kujua ukweli, ni kukomoa mwenzi.
Alooo, anayefumaniwa ataomba msamaha atalia na kugaragara ila hakuna mahali alilazimishwa kufanya ulichokuta anafanya.
Wewe mfunaniaji hukujiandaa kuona mwenzi wako akifanya anachofanya.
Hata kujipanga miezi, bado hakuna mtu anatuma mwenzi akaifanya kitu ili amfumanie.
So either way is fatal.
Mara nyingi fumanizi huwa rahisi kuisha kwa aliyefumaniwa kuliko aliyefumania.

Shida sio nyota ya mkeo.
Shida ni nini kipo ndani yako kumhusu.

Unaamini kwa kuwa ulimfumania, basi kuna mahali kama mwanaume umeshindwa.
Unaamini kuna mahali umeshindwa kutimiza uanaume wako.
Unaamini kuna mahali u you a lesser man.
So unajibebesha lawama za tukio.
As in ningekuwa hivi, asingekuwa hivi.
Ningefanya hivi asingekuwa hivi.
Sikia, human beings cheat because they want to cheat.
Hata wewe uliwahi Kucheat hukucheat sababu ya mapungufu yake.
So stop blaming yourself.
Stop it.
Unashindwa kuface the realities na kushindwa kufanya harakati zingine za maisha ukiamini hutafanikiwa.
Na unakoelekea utashindwa hata kuwa mwanaume.
Yes.
Ruhusu hiyo hali ya kuwa hujakamilika kiasi hakuna unachofanya kikafanikiwa unaamini ni nyota ya mkeo ndo mbaya.

Buddha!
It's in you.
Na ukiendelea kuiruhusu hiyo hali you are DONE!!
With or without her.
Wow! Wow! Wow!
.............
 
Sàsa hivi kila mtu anahisi ameibiwa nyota hali ukweli hali ni ngumu
 
Back
Top Bottom