Mi nakuelewa.
Inaitwa Self pride.
Inaweza isilete maana kwa mtu mwingine, ila mi nimekuelewa.
Umeumizwa pride yako kiasi cha kujionea hufai, huwezi, hufanikiwi na kila kitu hapo katikati.
Huaminiwa kufumania ni kujua ukweli, ni kukomoa mwenzi.
Alooo, anayefumaniwa ataomba msamaha atalia na kugaragara ila hakuna mahali alilazimishwa kufanya ulichokuta anafanya.
Wewe mfunaniaji hukujiandaa kuona mwenzi wako akifanya anachofanya.
Hata kujipanga miezi, bado hakuna mtu anatuma mwenzi akaifanya kitu ili amfumanie.
So either way is fatal.
Mara nyingi fumanizi huwa rahisi kuisha kwa aliyefumaniwa kuliko aliyefumania.
Shida sio nyota ya mkeo.
Shida ni nini kipo ndani yako kumhusu.
Unaamini kwa kuwa ulimfumania, basi kuna mahali kama mwanaume umeshindwa.
Unaamini kuna mahali umeshindwa kutimiza uanaume wako.
Unaamini kuna mahali u you a lesser man.
So unajibebesha lawama za tukio.
As in ningekuwa hivi, asingekuwa hivi.
Ningefanya hivi asingekuwa hivi.
Sikia, human beings cheat because they want to cheat.
Hata wewe uliwahi Kucheat hukucheat sababu ya mapungufu yake.
So stop blaming yourself.
Stop it.
Unashindwa kuface the realities na kushindwa kufanya harakati zingine za maisha ukiamini hutafanikiwa.
Na unakoelekea utashindwa hata kuwa mwanaume.
Yes.
Ruhusu hiyo hali ya kuwa hujakamilika kiasi hakuna unachofanya kikafanikiwa unaamini ni nyota ya mkeo ndo mbaya.
Buddha!
It's in you.
Na ukiendelea kuiruhusu hiyo hali you are DONE!!
With or without her.