Hapo tatizo sio huyo uliyenaye, angalia mfumo uliokua unapatia pesa umebadilika, hivyo lazima ubadilike kutokana na mifumo inavyobadilika, tatizo hili ni kubwa sana ktk nchi za wenzetu na sasa limefika hapa kwetu, maisha yanaenda kasi sana, panga unapotaka kufikia kwenye maisha yako, panga matumizi yako vizuri, chukua hatua ya kufanya jambo ambalo unaamini litakufikisha kwenye mafanikio uliyopanga.Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
Kichwa cha habari kina neno "ndoa"??mzazi mwenzangu
🤣Hahahaha weka elfu 2 hapo chini alafu ikanyage kwa mguu wa kulia nikupigie lamri fanya haraka.
TrueVile hauna hela then una Force ndoa
Lazima uangukie pua
Tafuta pesa kwanza
Endelea kuwa baharia

Ww ulimuoa ili ufanikiwe? Amekuwa kazi yeye?Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
Kipato kabla ya ndoa, kilikurosha wewe binafsi, sasa umeoa, majukumu na gharama zimezidi na hujaongeza kipato. Kaa chonjo, ataongezeka na mtoto kama sio watoto, sijui utafanya nini?Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
...😂😂😂..Vile hauna hela then una Force ndoa
Lazima uangukie pua
Tafuta pesa kwanza
Endelea kuwa baharia
Nenda kwa Mganga wa kienyeji aisafishe nyota yako.Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami naombeni ushauri.
Acha dharau, kama huna ushauri kwa jamaa pita kimya tuHueleweki unataka nini?
Kunywa maji kisha utulie uandike vizuri...!