Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
yani sio wanamatatizo wana mijitatizo wanaitaji maombezi tena sana otherwise no solutions which will make them to changehizi jinsia za suruali zinamatatizo jamani!
Jamani mie kila nikiingia humu nakutana na matatizo ya ndoa tena yanahuzunisha, wekeni basi na sred za mambo mazuri ya ndoa japo mtume moyo wale amabo hatujaolewa tuwe na hamu ya kuolewa,hizi nyingi zinakatisha tamaa jamani,kwan huwa kinatokea nn hasa mpaka ule upendo wa mwanzo unaisha?
fb unamaanisha jinsia gani hizo?? Maana wote ni wavaa suruali! Na mtoa mada hajaongelea jinsia, kaongelea wenye ndoa...hizi jinsia za suruali zinamatatizo jamani!
hizi jinsia za suruali zinamatatizo jamani!
Jamani wana jamvi, hili linatusumbua sana. Utashangaa wakati wa uchumba na urafiki watu wanakuwa na mapenzi tele, wanakumbatiana na mengine mengi! wanapendana na kuambiana you mean the world to me!
Recent study in America imeonyesha kuwa couples wengi wenye maisha mazuri na kuelewana na wale WALIOFANIKIWA KUBAKI MARAFIKI BAADA YA NDOA ZAO.
wana JF, hasa wale ambao hawajaingia kwenye ndoa, jitahidini sana kubaki marafiki, mkivunja urafiki na mkawa MKE NA MUME, wait for countlessc sleepless nights!
Jinsia za wavaa suruali a.k.a wanaume hatuna matatizo. matatizo yapo kwenu nyie tuu na mengine mnayaleta wenyewe wala sio ya kwetu
Mbona sisi tuko poa sana
Jamani mie kila nikiingia humu nakutana na matatizo ya ndoa tena yanahuzunisha, wekeni basi na sred za mambo mazuri ya ndoa japo mtume moyo wale amabo hatujaolewa tuwe na hamu ya kuolewa,hizi nyingi zinakatisha tamaa jamani,kwan huwa kinatokea nn hasa mpaka ule upendo wa mwanzo unaisha?
100%. Kuigaiga mpaka hata visivyo igika. wajisaili kwanza wajue wapi walipoipotezea ramani.Jinsia za wavaa suruali a.k.a wanaume hatuna matatizo. matatizo yapo kwenu nyie tuu na mengine mnayaleta wenyewe wala sio ya kwetu
Mbona sisi tuko poa sana
so your back its gud to see your writing again100%. Kuigaiga mpaka hata visivyo igika. wajisaili kwanza wajue wapi walipoipotezea ramani.
unapewa facts ili ukijitosa uwe tayari umejiwekea misingi ya kukabiliana nayo. lakini asikudanganye mtu, maisha ya ndoa matamu ajabu. kinachohitajika tu ni understanding coz watu wanapokuwa katika uchumba huwa wanaficha makucha. wakioana tu ndo utajua kweli urefu wa makucha ya mwenzio. utadiscover weakness nyingi sana kumhusu mwenza wako. itabidi uvumilie.Jamani mie kila nikiingia humu nakutana na matatizo ya ndoa tena yanahuzunisha, wekeni basi na sred za mambo mazuri ya ndoa japo mtume moyo wale amabo hatujaolewa tuwe na hamu ya kuolewa,hizi nyingi zinakatisha tamaa jamani,kwan huwa kinatokea nn hasa mpaka ule upendo wa mwanzo unaisha?
am back sir, once in a while i am hooked up tight. thanksso your back its gud to see your writing again
i see ok then enjoy urself sona
am back sir, once in a while i am hooked up tight. thanks