pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Mkuu embu toa maelezo yakutosha na sisi tuelewe ni yapi yaliyokusibu mpaka kufikia kutaka kudai talaka.Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Alijua ni kombolela ile ya utotoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ulifikiri kwenye ndoa watu wanachezaga Pool Table sio?
Huwezi kupokea ushauri jenga, kwasababu ume-hide zile key points za why umechoshwa na ndoa.Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
huyu ndio alikua akiambiwa subiri muda wako utafikaAlijua ni kombolela ile ya utotoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu toa maelezo yenye kueleweka bwana,tukushauri nini sasa?Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?
kitu cha kushangaza ni kwamba hakuna watu wanao taka ndoa kama wanawake unakuta mpo kwenye mahusiano kila siku analia ndoa ndoa..lakini ni wanawake asilimia 95 wanalalamika ndoa haina furaha..but anyways mkuu furah inaanza na wewe je umewahi kuitafuta , kukaa chini na mwenzako kujadili matatizo mliyo nayo maan kam mliweza kufunga ndoa ina maanisha mnafahamiana kisas kwamba hakuna kitu ambacho kitawashinda kuzungumza hata kam kiwe uncomfortable vipi..furaha ya ndoa inaanza na wewe sio wewe ...tafuta solution ya tatizo ulilonaloHabari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?
ulifikiri kwenye ndoa watu wanachezaga Pool Table sio?
muache na bado yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliejua anaenda cheza mdako
Well said √.Furaha yako iko mikononi mwako!
Ongea na mwenza wako, nini unataka na nini hutaki!!
Maisha ya ndoa, mazungumzo ni kila kitu! Pata nafasi ya kuongea naye kwa upendo, mfanye awe unavyomfurahia wewe!!
Kila la kheri Mkuu..
Unyago umepitia?Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?