💯🤝Kiburi,ujeuri,kisirani,dharau,ubabe haujengi ndoa Bali hubomoa
[emoji23][emoji23]jau sanaila motivational speakers mnazinguaga kichizi
Utaskia "Maisha ni kama feni, wakati inazinguka pia jua lina Waka"[emoji23]
Msitutishe bana[emoji23]
#OA WAKE WAWILI WAGOMBANE WAO
Kama mimi mkuu,aga ngp now? Me nipo 37 sina mpangoBado niponipo sana..
Dawa ya ndoa ni kutoingia kwenye ndoa, chagamoto za ndoa hazina mfano acha tu hayo mambo ya pedeli za basikali ni kupotez mda.Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda).
Yaan ndoa inafananishwa na vitu vingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pedeli tena?![emoji15]
Siyo ajabu Leo anatuambia ni pedel ya baiskel kesho atatuambia ni clutch ya pikipiki kesho kutwa ni gearbox ya trekta mwisho tutaskia nae kajinyongaTena hao makungwi ndio wanaongoza kubinuliwa kichwa chini miguu juu na hayo mapenzi
Na bado🤣🤣🤣🤣Yaan ndoa inafananishwa na vitu vingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ukute bado hajaoa[emoji16]akioa sijui atafananisha na nini!Na bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣Atafananisha na ugomvi wa paka na mbwaHapo ukute bado hajaoa[emoji16]akioa sijui atafananisha na nini!
Ni shughuli[emoji23][emoji1787][emoji1787]Atafananisha na ugomvi wa paka na mbwa