afisa manispaa
Senior Member
- May 17, 2015
- 188
- 133
Umejitahidi sana kuandika umetaja hadi wilaya zote japokua mwandiko wako kidogo co mzuriMintupuez ni wiraya ktk mkoa Wa dergado ambapo kwa ufahamu Wangu mkoa Wa dergado una wiraya
Pemba Msimbwa parma mintupuez nangadi mweda
Muntupuezi biashara kubwa ni madini aina ya ruby wafanyabiashara Wa nchi nyingi wamejaa km
Senegari Mali niajelia Ghana thairand marayasia China Tanzania awo wote wapo kwa ajili ya ruby lkn Pia kuna mzunguko Wa biashara nyingi tu ni wiraya ndogo lkn INA watu wengi na rugha inayotumika sana ni kiswahili na kireno na kimakuwa biashara ya dawa nzuli tena inalipa sana lkn wana masharti magumu sana sio apo mintupuez tu Mozambique mzima mpaka kufunguwa pharmacy kuna kazi sana kupata vibari vyake wana Shelia kari sana khsu madawa wapo wanaoingiza kinyemela lkn wakikukamata utajuta kuzaliwa na biashara za madawa zina Pesa sana kwakuwa wao huduma zao za afya zipo chini
Mfano mm nilinunu vidonge vinaitwa viviani Tanzania nanunuaga elfu 1000tsh lkn uku wanauza 100mtcsh ambapo kipindi iko ni sawa na elfu 5 tzsh
Pesa yao INA samani kidogo tofauti na ya kwetu hta ivo kwa sasa imeshuka kidogo
Kwaiyo mkuu nakuomba uje kwanza kufanya uchunguzi ucheki na chenji zake kwa sasa
Khsu polisi ni kweli wasumbufu uwe na passport usiwe nayo ni shida tu razima uwape refreshco ndo utafanya yako kwaiyo changamoto ni nyingi sana
Khsu viza ni bure unagongewa ya miezi 3
Kuna kuna maswali nakalibisha
Kumbe unasikia ujawahi kuingia mbomboFrem zipo kodi wapo tofauti kuna wanaochukuwa hta mwezi mmoja lkn miezi 3 kawaida
Usalama kwa vijijini mdogo uku sehemu za mgodi uhuni mwingi Mara nyingi utackia wanauwana au wanapigana kwa ajili ya kuzulumiana mambo ya madini
Mintupuez mjini usalama upo kwa wafanyabiashara Wa kawaida cjackia kupata matatizo lkn wenye madini na waliouza madini matukio nayackiaga sana inasemekana askari awo awo ndo wenye kudili na ayo matukio
Aende tete umesahau kuwa kuna vitaPolicia wa mozambicano wanapenda hela xana hasa hao wa hiyo wilaya ushauri wangu bora uende tete ndo kunabiashara na kuna watanzani wengi kutoka mbeya na mwanza na shinyanga lakin mtepweshi kuna wasukuma pekee na wanageria afu saiv kule dolla imepanda kwahiyo utasumbuka sana kuhusu change
Ulivyo sema ni kweli lakini lazima jamaa akazeKtk yote,mtepweshi hakufai ndg.Maisha ya huko ni zaidi ya udhalimu!Umafia,wizi,kuuana na kunyanyaswa kwa wageni na vyombo vya dola vya huko hakika ni zaidi ya niandikavyo!Wapo wengi walienda na mitaji na walifanikiwa kurudi na ama vilema au umasikini wa kutupwa kwa sababu ya madhila hayo niliyoyaandika.Tafuta eneo jingine lililo salamu ndg.
Life iko ngumu kweli hukuDaaaaahhhhh Nawadau wangu huko
Wanasema life gum sana huko
Boa noiteMi niko Maputo, ni mwanafunzi. Ukija huku nitakusaidia hata kutengeneza document zote, nitakupeleka kugongesha passpot yako kama muda utaisha ukitaka naweza kukupeleka hata ubalozini ili uishi kwa usalama zaidi. Naweza kukuoeleka kwa mwalimu wetu aliyetufundish ki-portugues, ili jioni ukitoka kwenye shughul zako akupige msasa kidogo. Naweza kukutafutia pa kuishi ( chumba kulingana na uwezo wako) naweza kukutafutia flem. Ila usiwe mswahili swahili tu.
Afisa manispaa si urudi tu home tuje kulimaa?Life iko ngumu kweli huku
Kaka umesomea Mtepweshi? Maana unavyoandika....Mintupuez ni wiraya ktk mkoa Wa dergado ambapo kwa ufahamu Wangu mkoa Wa dergado una wiraya
Pemba Msimbwa parma mintupuez nangadi mweda
Muntupuezi biashara kubwa ni madini aina ya ruby wafanyabiashara Wa nchi nyingi wamejaa km
Senegari Mali niajelia Ghana thairand marayasia China Tanzania awo wote wapo kwa ajili ya ruby lkn Pia kuna mzunguko Wa biashara nyingi tu ni wiraya ndogo lkn INA watu wengi na rugha inayotumika sana ni kiswahili na kireno na kimakuwa biashara ya dawa nzuli tena inalipa sana lkn wana masharti magumu sana sio apo mintupuez tu Mozambique mzima mpaka kufunguwa pharmacy kuna kazi sana kupata vibari vyake wana Shelia kari sana khsu madawa wapo wanaoingiza kinyemela lkn wakikukamata utajuta kuzaliwa na biashara za madawa zina Pesa sana kwakuwa wao huduma zao za afya zipo chini
Mfano mm nilinunu vidonge vinaitwa viviani Tanzania nanunuaga elfu 1000tsh lkn uku wanauza 100mtcsh ambapo kipindi iko ni sawa na elfu 5 tzsh
Pesa yao INA samani kidogo tofauti na ya kwetu hta ivo kwa sasa imeshuka kidogo
Kwaiyo mkuu nakuomba uje kwanza kufanya uchunguzi ucheki na chenji zake kwa sasa
Khsu polisi ni kweli wasumbufu uwe na passport usiwe nayo ni shida tu razima uwape refreshco ndo utafanya yako kwaiyo changamoto ni nyingi sana
Khsu viza ni bure unagongewa ya miezi 3
Kuna kuna maswali nakalibisha
Mi niko Maputo, ni mwanafunzi. Ukija huku nitakusaidia hata kutengeneza document zote, nitakupeleka kugongesha passpot yako kama muda utaisha ukitaka naweza kukupeleka hata ubalozini ili uishi kwa usalama zaidi. Naweza kukuoeleka kwa mwalimu wetu aliyetufundish ki-portugues, ili jioni ukitoka kwenye shughul zako akupige msasa kidogo. Naweza kukutafutia pa kuishi ( chumba kulingana na uwezo wako) naweza kukutafutia flem. Ila usiwe mswahili swahili tu.
Wekeza Hapa BONGO mbona bado Fursa kibao haswa katika hiyo sekta ya Afya....
InatamkwaDinyeiru... Kireno "nh" ni "ny" halafu "o" ikiwa mwisho ni "u"Co Dineri ni Dinheiro
Kaka funguka kidogo kuhusu maisha ya muda coz nna option pia ya kwenda muedaMimi Nimefika Mweda na Montepuez ,montepuez kuna pesa ila complications sana,mweda kama manzese tu mpaka wali wa nazi utapata na wabongo vurugu kama ilivyo monte ila mweda inabidi uwe na akili sana.
Misasa Zambia wananunua sana nguo kutoka Tanzaniana SA na kodi kwao kuingiza mzigo ipo kidogo sana hizo nguo za kkoo pale zinatembea sana pamoja na urembo mimi nishawahi kufanya hiyo soko la kamwala kwa sasa ninawasafirishia na kununua mizigo kutoka SA.,mzambia ananunua nguo kila akipata mshahara awe mama au dada biashara ipo kitwe,Solwezi na Lusaka..mzunguko wa biashara upo tofauti kubwa na Tanzania na hakuna mambo ya kukamatana ukishalipa kodi yao hiyo ila nyumba ndio zipo ghari kuliko Tanzania..,