OK so sehemu gani ni salama kuwekeza? Maputo? Vipi kuhusu nampula?Uku baadhi ya maeneo kuna Vita renamo ni chama cha upinzani ambacho kipo msituni kwa sasa kinaendesha vita kwaiyo ukifika iyo sehemu kuna escoti za wanajeshi lkn zinapigwa ivo ivo huwa ashambulii magari kila siku lkn wakiamuwa akuna kwenda maputo
Funguka zaidi mkuu..vita inapiganwa maeneo gani ya nchi?Likudi hapo msumbiji tuu bado hujaenda hutaki kurudi bongo tena nini mkuu,Msumbiji hakupo sawa mapigano yapo sana huko nashangaa hata hayatangazwi...miaka yetu sisi tunaanza life ya Nje unamuuliza mmoja tuu majibu unapata unajua uende wapi ninyi mnauliza hadi chakula haya bwana endelea kuuliza tuu..
Mbona hata police wetu wanapenda sana mlungula??Jiandae kisaikolojia na police wa uko..wanapenda rusha 100%.
Sehemu walipo renamo kuanzia zambezia mpaka Mishungwe ngorongoza izo sehemu ni njia kutoka Nampura kuelekea maputoOK so sehemu gani ni salama kuwekeza? Maputo? Vipi kuhusu nampula?
Maputo nampura Pemba Beira nakara rushingaOK asante kwa maelezo so sehemu gani ni salama? Maputo?
Mi niko Maputo, ni mwanafunzi. Ukija huku nitakusaidia hata kutengeneza document zote, nitakupeleka kugongesha passpot yako kama muda utaisha ukitaka naweza kukupeleka hata ubalozini ili uishi kwa usalama zaidi. Naweza kukuoeleka kwa mwalimu wetu aliyetufundish ki-portugues, ili jioni ukitoka kwenye shughul zako akupige msasa kidogo. Naweza kukutafutia pa kuishi ( chumba kulingana na uwezo wako) naweza kukutafutia flem. Ila usiwe mswahili swahili tu.Nataka niende Maputo kabisa!! Nasikia ni safari ndefu saana
Gharama za frem zikoje Maputo? Na wanalipa kwa muda gani? Mwezi mmoja miwili au mitatu? Vipi kuhusu gharama za nyumba za kupanga? Purchasing power zikoje?Mi niko Maputo, ni mwanafunzi. Ukija huku nitakusaidia hata kutengeneza document zote, nitakupeleka kugongesha passpot yako kama muda utaisha ukitaka naweza kukupeleka hata ubalozini ili uishi kwa usalama zaidi. Naweza kukuoeleka kwa mwalimu wetu aliyetufundish ki-portugues, ili jioni ukitoka kwenye shughul zako akupige msasa kidogo. Naweza kukutafutia pa kuishi ( chumba kulingana na uwezo wako) naweza kukutafutia flem. Ila usiwe mswahili swahili tu.
Vipi kuhusu gharama za fremu zikoje na wanachukua kodi ya miezi mingapi? Pia vipi kuhusu kodi ya nyumba ya kuishi? And what about purchasing power ya wana mozamboque? Usalama?Usafiri uliosalama ni ndege, kampuni ya LAM, unaondoka saa 11 jioni unafika saa 3 na dk 45, naweza kukupokea na hata ikitokea nikaugua naweza mtuma mwanafunzi mwenzangu akakupokea. Sioni sababu ya kuji-risk kwa gari, labda uwe hauna uwezo kabisa. Ila kama unapesa kidogo njoo kwa ndege, nitakuelekeza kuna mtu hapo airport ya Dar es saalam atakupeleka utakata tiket kisha utakuja
Flem unalipa kuanzia miezi mitatu, flem sio ghari kwa huku lakini ukilinganisha na Tz inaweza kuwa juu kidogo maana hela ya Mozambique ina dhamani kubwa ukilinganisha na ya kwetu. Ila ukishaingia kwenye sistem utaona ni kawaida maana hata dawa zinauzwa ghari kidogo ukilinganisha na tzGharama za frem zikoje Maputo? Na wanalipa kwa muda gani? Mwezi mmoja miwili au mitatu? Vipi kuhusu gharama za nyumba za kupanga? Purchasing power zikoje?
Usalam kwa maputo si tatizo, bora tu usijihusishe na siasa na vikundi vya ujambazi au utapel utapel maana utauliwa kisiri siri. Nyumba inategemea na location kama tz, gharama za nyumba sio za kutisha. Sema geust house ndio ghari sana kama ukitaka kukaa guest kwa mudaVipi kuhusu gharama za fremu zikoje na wanachukua kodi ya miezi mingapi? Pia vipi kuhusu kodi ya nyumba ya kuishi? And what about purchasing power ya wana mozamboque? Usalama?
Napenda sana mtu mwenye akili ya kuzamia somewhere kusaka maisha kwa njia halali. Mungu akutangulie mie niko mbele yako (South) , ukifika utanijulisha siku moja nije nikutembelee.Habari wadau keshokutwa ninasafiri kutoka Dar kuelekea Mtipweshi Msumbiji, ninakwenda kufanya business survey ninataka kuwekeza.
Kwa wadau mliopo Mtipweshi au ambao mmewahi kuishi Mtipweshi nipe ni dondoo tafadhali. Taratibu za kupata vibali vya kufungua biashara Mtipweshi zikoje?
Vipi kuhusu hali ya maisha kwa ujumla ikoje, na vipi kuhusu usumbufu wa polisi kwa RAIA wa Tanzania?
With much thanx in advance
Asante sana kwa maelezo mazuri..nitakuja Maputo... Vipi nikija na mtaji wa milioni kumi..naweza kuanza maisha hapo Maputo?Usalam kwa maputo si tatizo, bora tu usijihusishe na siasa na vikundi vya ujambazi au utapel utapel maana utauliwa kisiri siri. Nyumba inategemea na location kama tz, gharama za nyumba sio za kutisha. Sema geust house ndio ghari sana kama ukitaka kukaa guest kwa muda
North West Province (Mahikeng/Mafikeng). Nimependa wazo lako na usiogope, amini kama una tabia zuri utaishi popote hapa duniani, Tz ukweli ishakuwa ngumu sana kutoka hasa kama hauna elimu kama mimi. Nilikuwa huko few weeks past kama una duka basi ukubali biashara ya kukopesha kwa wafanyakazi ulipwe mwisho wa mwezi hapo unategemea utatoka lini?Pamoja sana kaka upo Jo'burg?