Maisha ya mkenya wa kawaida

ila wanabongo ukweli usemwe..kenya ni taifa lenye mipango..ila kidogo hapakosi matatizo lakini taifa lenyewe hata usiseme..si infrastructure si elimu si uchumi..yataje tuu...nchi yenyewe sasa hivi imepaa..
 
Ameishi Nairobi huyo, kama ungekuwa unamfuatilia tokea zamani ungejua. Njooni na vipicha vyenu vya Mombasa road na Thika highway mjipe moyo.
Hahahaaaaa, yaani hizi mada za hapa jamvini kila mara kulinganisha dar na nairobi, au miji ya tz na kenya huwa inaniacha hoi kwani mara nyingine zinakuwa hazina uhalisia. Mimi kenya nimeishi na naishi ila uhalisia unapotolewa tukubaliane nao walau. Mleta uzi huu mimi binafsi naweza sema amehit on the bull hata kama tutabisha lakini ukweli ni mkubwa. Tukikubaliana kuwa lisemwalo lipo inaweza kusadia mamlaka kufanyia kazi badala yakubisha. Wakenya ndugu zangu not all the time when facts released by someone we become too defensive. It can't help at all sometimes.
 
Its far more worse to start an argument when your condition is worse, these Tanzanians believe they are far better than Kenyans
 
hujapata kutoka na wanawake wa huko mkuu...yani hata ipo siku diamond karibu ampe mpenzi wake taraka kisa kapewa msuguo wa haja..yaani wametimia..
Sio kweli mkuu nimepata wengi tu,ila ni ving'ang'anizi humuachi kirahisirahisi.
 
The Republic of Turkana Defence Force (TDF). Police wa Kenya hawawezi kanyaga huko.
kenya-turkana__tcp_large.jpg

turkana-guns.jpg

turkana12.jpg

nyrvhh9e78c4ce52.jpeg
You know, unajua kiasi sana about Kenya. Unajikaza tu ndio usionekane mpumbavu.... Hao waturkana wakona silaha na serikali inajua.. The reason they have those is because majority of them depend on pastrolism.. utapata Kuna mtu akona more than 500livestocks.. Na sio waturkana pekee.. Pia waborana, wapokot, kalenjins (some),Kenyan somalis, rendile and samburu.. And mind you they don't use there weapons in fighting other communities.... If any community misuse it's weapons the government will collect all its weapons.
 
Punguza povu mulanKE.
 
Hizo guns ni mgao wa serikali, Ama wanamiliki kiholela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....

Why?
1. Plot wanazoishi sio hygienic, choo kimoja hushea watu zaidi ya 30+ which is dangerous in case of disease epidimics

a. 15 Dirtiest Cities in the World

b.
map%20with%20san%20013014%20500_edited-1.jpg

2. Nyumba ni za mabati, kama mabanda ya nguruwe, huwezi amini kumuona mtu mstaarabu kwa road but ukenda kwa plot yake ni ya bati kama nguruwe

But u were also living in those places

3. Mitaa mingi haina maji, hutegemea maji yanayosambazwa na malori, Lori moja husambaza maji mtaa mzima, watu hugombania, ndio ya 20litre huuzwa 20bob=440/= Tsh... Wana wake hubeba maji mgongoni sio kichwani kama ngamia au punda wakitembea a distance.

That is a lie. Most homes in Nairobi depend on the tap water from the NWSC

WA-3-redo.png

Grey for “missing” so North America na Australia hawana maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nyie mnaokula mefi na Albino wapi afadhali sasa........Siku zote Akili ya Mdangagiza ni aibu tu....Mwenyewe hata hajafika border ya Kenya na Tanzania let alone Nairobi.Keep Dreaming,Go mad man
 
Nimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....

Why?
1. Plot wanazoishi sio hygienic, choo kimoja hushea watu zaidi ya 30+ which is dangerous in case of disease epidimics

2. Nyumba ni za mabati, kama mabanda ya nguruwe, huwezi amini kumuona mtu mstaarabu kwa road but ukenda kwa plot yake ni ya bati kama nguruwe

3. Mitaa mingi haina maji, hutegemea maji yanayosambazwa na malori, Lori moja husambaza maji mtaa mzima, watu hugombania, ndio ya 20litre huuzwa 20bob=440/= Tsh... Wana wake hubeba maji mgongoni sio kichwani kama ngamia au punda wakitembea a distance.

4. Wachache sana wanao afford kula balanced diet, wengi hula mboga tu(sukuma, terere, kienyeji, etc kwa ugali, nyama ni adimu sana hula matajiri tu.....

5. Mb za Kenya huisha kama upepo na very expensive, Tsh 50/= (1110/= Tsh ) unapewa Mb-68 tu, ambazo ukilog in fb dk 10 zinaisha, wakati Tz Fb ni bure na Kwa Tsh 1500/= unapata 1GB and a lot of airtime for a week.

Hakuna vibando vya kupiga simu kama Tz, mfano Tz unaweza weka Salio ukanunua dk kadhaa za kupiga, Kenya Unaweka Salio na kupiga hivyo hivyo kavu kavu, kudadeki, Tz tuna unafuu mkubwa wa mawasiliano, huduma kama Halichachi Bando n.k zinasaidia wana nchi.

5. Uchafu na taka ni changamoto sana, wana nchi hutupa hivyo maana hakuna utaratibu maalumu kama magari, yapo machache but not affordable to wana nchi wa kawaida wa hali ya chini

6. NAULI kila city basi hujipangia haiko fixed na hakuna governing body yenye hupanga na kuamua nauli kama SUMTRA TZ... So naweza end a tao(town) kwa mbao(20bob=Tsh 440\=) lakini ujaridi kwa 70bob(=1500/= Tsh au soo(Tsh 2000/=) hii INA kufanya ushindwe kupredict

7. Wakenya hawasalimiani njiani, unapita kimya kimya unless uwe mnajuana ndo unaaema 'Sasa......" Tz ni waungwana ukipita kwa njia ni must utae hae juu waweza dondoka mbele akaja akakusevu uliyemuacha nyuma

8. Makelele MENGI sana, tao(town) juu magari yako MENGI sana hasa ya abiria, mahoni pipiiiii, it make the city look hooliganic... Tz uko poa juu mabasi yamepigwa stop kuingia city centre hata yakiingia yana location maalumu sio kuzagaa kama Nairobi

9. Matapeli yamejaaa, Ma conmen, ukiwa street kuibiwa simu ni kawaida, dk mbili unaoneshwa kisu, hasa Eastleigh kule, ni balaaa

1
Kwa Kifupi Maisha Ni magumu sana kwa RAIA wa daraja LA chini, but starehe kwa matajiri na wenye nacho

10. Mabangi yameharimu vijana, vijana waziwazi wanatafuna miraaa, na Rais Wao aliruhusu and promised to fund miraa projects, this is insane...

11. Makelele ya mziki ndani ya matatu yanaharibu sana maskio, na huwezi sikizana kwa phone ukiwa ndani ya matatu, regaae musics most preferred na matatu ziko equipped na music system nzito sound crazy for we non citizens who were not used to this before

Note:- This report is based in Society with low socioeconomic status which constitutes 75% of Kenyans in Nairobi

POSITIVE;-
1. Shule zao ziko smart huwezi differentiate Gava na private
.2. Watoto wanatema ung'eng'e balaa, mtoto wa std 4 ni sawa na form 6 wa Tz,, they are very fluent, compentent in English both written and spoken......nashauri kwenye pesa wapeleke watoto Wao kula japo kwa primary, very cheap.....na quality uko juu

3. Magari ni rahisi kumiliki

4. Starehe nyingi sanaaaaaaa, sanaaaaa kama una pesa zako

5. Hakuna MTU anajali mambo yako, no kulogana au wivu...

6. Entertainments clubs, pubs zimejaaaa

7. Mabasi yao yamepambwa sana this make the city jams look good

Ni HAYO KWA LEO, WAKIBISHANA NITALETA PICHA
Ila huyu mtoa mada mjinga amesahau kuwa licha ya ufukara wao hawali watoto wao. YaaniYaani hawa watu wana utu na wanaheshimu maisha ya binadamu
 
Sio mgao WA serikali... Wengi wao nilikuambia ni nomadic pastrolist wanaishi vichakani... If anything bad happens.. They will have a way of defending themselves... They get there weapons from neighbouring countries like Ethiopia, Somalia, South Sudan

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali imechukua hatua gani kudhibiti matumizi mabaya ya silaha ya moto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mwenzangu why do you fall to stupid Tanzanian tricks. Mleta mada ata hakutoka kibandani chake dar es salaam Wala hujawai safiri zaidi ya mzunguko wa Dar. Ni Kiki uatafuta apoeshe stress za Dar!!!!keep away
It's effects of cannibalism.I think these people should consider reducing human meat consumption as it's causing them to hallucinate.Wanaona kama wote wamefika Kenya Mtu anajificha nyuma ya keyboard na kuanza kuandika matope akiwa na motive ya Ku~hurt Kenyans. Watu huko kwao wanachinja watoto na kuwala halafu watoto wanakula kinyesi cha konokono ,nani anawauliza?
Wakenya ambao wamezuru vijiji vya tz wanaweza kubaliana nami kwamba people therelive in abject poverty but tunafungua nyuzi kuwadhalilisha?
watz ni wanafiki sana. They think kind words like tafadhali, naomba n.k hu~define humanity ya mtu
 
Back
Top Bottom