Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,542
- 7,450
Mmeendelea kwa lipi? Uchumi imara unamsaidia nini mtu wa kilifi au ukunda? Nchi haina la maana full corruption, barabara zenu zile za mkoloni, uimara wa pesa yenu una faida gani kwa mkenya wa kawaida? Nchi inanuka rushwa kuanzia juu mpaka chini, uchafu sasa, Kenya pekee mnachojivuania eti kizungu maana huwa hamsemi Kiingereza mnasema kizungu, kina faida gani kama chokoraa wenu pia wanaongea hicho Kiingereza?Tangazo maalum: Kama hauna vyeti vya masomo, ujuzi, uzoefu wa kujieleza kiingereza, pesa, basi katu usithubutu kuja Kenya. sisi waKenya ni walipaji ushuru ndio maana nchi yetu imeendelea kuwashinda nyinyi walala hoi. hatutaki mutuletee uzembe wenu katika nchi yetu. bora mubaki huko huko bongolala.
nasema hivyo kwa maana najua watanzania wengi ninaokutana nao kila siku. ni kweli watanzania ni watu wa hali ya chini wakija Kenya kutokana na hizo sababu nilizopeana hapo juu ndiposa mukawa watu wa kudharauliwa na kuchekelewa.
narudia tena, usije Kenya kama hauna degree. hatutaki ulofa.
Sijaona mnachoizidi Tz ila Tz inawazidi vingi mno,
Basi zenu za abiria ustaarabu zero kabisa, speed zisizo na maana, nchi gani iliyostaarabika patrol kila muda na polisi wanachotaka Shs 100 wakuachie, polisi wenu mafedhuli sana hawana heshima wala adabu, sijaona mnachojivunia labda ukabila wenu,