Maisha ya Malcom X na dini

msukule mzembe

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
243
294
Huyu ni kijana na mwanamapinduzi wa kiafrika na mmoja wapo wa wana pan-africanism jina lake anaitwa Malcolm Little lakini aliamua kubadili jina na kujiita Malcolm X ambapo X inamaana ya kitu kisichojulikana. Alitumia X kuficha jina lake la ukoo ili ukoo wake wa kiafrika usijulikane.

Kutokana na kipindi hiko kuwepo kwa ubaguzi jamaa alikamatwa na wazungu kutokana na kuhubiri kwake waafrika wajitambue na kujitoa katika utumwa wa wazungu pamoja na pan-africanism movement alikamatwa na kupelekwa jela ambapo alikaa jela kwa muda wa miaka 6

Kipindi yupo jela alikutana na moja ya viongozi wa kiislamu aitwae "Eliyah-Mohhamed". Hao wote walikuwa ni wanaharakati wa ukombozi wa afrika.

Baada ya muda wa kifungo chake jela alitoka na kukatazwa kuhubiri mambo yake. Jamaa baada ya kutoka ikumbukwe alikuwa bado Mkristo

Akaenda makanisani ya wazungu lakini akaona mafundisho yao ni kama ya kuwafanya waafrika kuwa loyal kwao yaani kuwasujudu na kuwanyenyekea wazungu kwa kila jambo.

Baada ya hapo akaenda Macca ambapo akaslimu rasmi na kuacha jina la Malcolm X na kujiita EL-HAJJI MALIK EL SHEBAAZ jr

Akaungana na yule muislam aliyekuwa nae jela mwanzo kuendeleza itikadi zao kwa waafrika wenzao kuhusu kujitambua

Baada ya kuungana na huyo jamaa alikubalika sana kuliko hata viongozi wa Kiislamu aliowakuta katika hiko chama kutokana na misimamo yake thabiti

Wale viongozi wa Kiislamu baada ya kuona anakubalika sana wakahisi kwamba Malcolm x anaweza akawapindua kutokana na kukubalika na wengi.

Viongozi hao wakaamua kumpa uongozi kama kumpumbaza ila bado aliendelea kupendwa

Kutokana na uoga wa viongozi hao wakampangia njama ya kumuua ambapo walimpa kazi ya kwenda Marekani kuhubiri siasa zake na wakati akiwa anahubiri, kundi hilo la Waislamu wakamvia na kumpiga risasi ndipo alipokufa

Achana na hayo kwanza leo tuongelee kuhusu hizi dini 2 kuu Afrika. Wazungu kupitia ukoloni na waarabu kupitia utumwa walituletea dini zao ili kutufanya watumwa na hatuna thamani

Kivipi..?

Kabla ya ujio wa waarabu na wazungu wazee wetu walikua hawaabudu na hawasali?
Walikuwa wanasali na majibu walipokea vizuri tu

sasa kwa nini waliacha za kwao nakuzifata za wageni.
jibu ni kua wazee wetu walifanywa kwanza kujiona hawana thamani na hawastahili na kila ambayo walikua wanafanya ni ujinga. nao pia wakakubali kujiona hivyo kua hawana thamani wakayapokea hayoafundisho mapya.

tunaona hadi leo kua waafrika wengi hawanaushirikiano kwa sababu za utofauti wa dini zao. wanatengana katika kila jambo muhimu na wanabaguana kwa dini zao

ipo hivi,

WAZUNGU wanamuamini YESU
WAARABU wanamuamini MOHHAMMED
WACHINA wanaabudu miungu yao
WAHINDI kama tujuavyo
WARUSI na WAKOREA hawana dini
AFRIKA muinganiko wa vyote
ukijaribu kuangalia hao wote wameendelea kuliko waafrika kwa nini.

katika kuamini hizi dini 2 kuu yani CHRISTIAN na ISLAM waafrika ndo wanaongoza kwa kuamini kuliko waliozileta wenyewe lakini bado hawaendelei kama waliotuletea kwanini.....?????

mimi nahisi ni bora tuishi katika asili yetu na haya tuliyoletewa tuyaache alafu tuone kama hatuta.endelea

ukikurupuka hautaelewa ila yatafakari maneno yangu na ujue kwamba hizo dini sio za ahadi kwetu bali ni za kwao wao ndo maana wanaendelea kwa kua ahadi ni za kwao na sisi tunazishika sana kuliko wao na hatuendelei kwa kua si za ahadi kwetu

ASANTENI NAWASILISHA

Cc: msukule mzembe
download-3.jpg
 
hii mada inafikirisha sana.
nafikiria kwa mfano hizi dini kuu mbili zingetokea Africa kisha tukawapelekea wazungu na waarabu wangezikubali?

alafu cha kushangaza zaidi wao walioleta hizi dini awazikomalii kama huku matopeni,wao wanavumbua vitu na maendeleo.
 
yah
 
Hivi uislamu unamfanya vipi muislamu asiwe na maendeleo?
 
View attachment 2212856
wewe kweli ni msukule muongo sio mzembe tu.
 
Urusi na Korea hawana dini kivipi?

Hawa wamissional wa kikorea waliojaa hapa kwetu mama kanisa Yao wametoka sayali Mars?
Urusi auxdox imetawala.
 
Nani kakudanganya kuwa Russia hawana Dini? Asilimia 63 ya Warussia ni Wakristo wa Dhehebu la Orthodox. Kabla huja copy na kupaste changanya na zako kidogo.
 
Urusi na Korea hawana dini kivipi?

Hawa wamissional wa kikorea waliojaa hapa kwetu mama kanisa Yao wametoka sayali Mars?
Urusi auxdox imetawala.
Amekariri hata haelewi .kaikuta sehemu ka copy na kupaste. Russia asilimia 63 ni Wakristo wa Orthodox.
 
Back
Top Bottom