nilikumisijeee.....hebu niambie ulikuwa wapi.....?
Maisha ya kijijini usiku mnakaa pembeni ya moto..
hii nakumbuka likizo .Bibi hatai tuchumemahindi kila siku wajukuu ndo hatusiki kila tuirudijion ituna mahinidi ...lolGambachovu said:Giza totorooooo....
Mnapuliza moto na kuchoma mahindi na mnajikunyata.....
Mi nakumbuka zaidi umande wakati wa kwenda shule asubuhi,halafu pekupeku na 'eiboe'.
Mhhh Wewe P weweeee shauri yako. Unaijua ngata asilia ya kuweka kichwani kuweka ndoo ya maji kutoka mtonia au kisiman ukiwa kijijini.nilikumisijeee.....hebu niambie ulikuwa wapi.....?
Mhhh Wewe P weweeee shauri yako. Unaijua ngata asilia ya kuweka kichwani kuweka ndoo ya maji kutoka mtonia au kisiman ukiwa kijijini.
BTN
Kama ni mimi ulikuwa unaniuliza niliuwa wapi basi nipo kule kwenye ubuntu .Nasubiri tution yako toka mwaka jana.
Mtazamaji me like your post,nakaa uswazi mpaka leo..ndo maisha yetu hayo:smile-big:
Nasoma tu Coment
Mamndenyi na Sauti za kila aina ya ndege alfajiriChakula fresh maji fresh amani tele ila muwe na feza.
mh,me nakumbuka meng sana kijijin. kusenya kuni,kuchota maji mton,kupuliza moto. bas kulikuwa na chuma flan hv km bomba tulikuwa twalitumia kupulizia moto linaitwa "fududu" wenyej wa kule kwetu watakuwa wanalipata. afu na kuogelea mtoni. dah nkikumbuka huwa nacheka sana!