Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Uwe na kwako au nyumba yako
Le Mutuz ana 63 na bado anagongea kwa mshua na maselfie kibao insta na wajukuu zakeMwanaume mpambanaji na mjanja ktk umri wa miaka 30 huwa anakuwa na mambo yafuatayo :-
(1) Ana mke na angalau mtoto mmoja
(2) Ana gari la kutembelea japo la milioni kumi
(3) Ana nyumba angalau moja au ndo anaendelea na ujenz yupo kwenye hatua ya lenta nk au ana kiwanja anajipanga kuanza kujenga
(4) Ana chanzo cha mapato cha uhakika kama vile biashara, ajira ya Kudumu nk
Ukifikia umri huu bado upo nyumbani kwa wazazi unakula ugali wa bure, unavaa milegezo tu na kutongoza ovyo videm vya Facebook na kwenye mitandao mingine, basi ww ni hasara kabisa!!!!
Uwe unasoma mastersKwa sisi wa 25 tulitakiwa tuwe wapi?
Tunazungumzia kimaisha so kielimu, rejea titleUwe unasoma masters
Jast enoughUsiwe tegemezi.