Maisha ya kijana wa kiume

dan yah

Senior Member
Apr 14, 2017
103
62
Habari wadau wa jamii forum...
Ukiwa na miaka 30 unatakiwa kuwa na maendeleo gani haswa kama kijana wa kuime/mwanaume ili akutazamae aseme kweli wewe mpambanaji
 
Habari wadau wa jamii forum... Ukiwa na miaka 30 unatakiwa kuwa na maendeleo gani haswa kama kijana wa kuime/mwanaume ili akutazamae aseme kweli we mpambanaji
Mwanaume mpambanaji na mjanja ktk umri wa miaka 30 huwa anakuwa na mambo yafuatayo :-

(1) Ana mke na angalau mtoto mmoja
(2) Ana gari la kutembelea japo la milioni kumi
(3) Ana nyumba angalau moja au ndo anaendelea na ujenz yupo kwenye hatua ya lenta nk au ana kiwanja anajipanga kuanza kujenga
(4) Ana chanzo cha mapato cha uhakika kama vile biashara, ajira ya Kudumu nk

Ukifikia umri huu bado upo nyumbani kwa wazazi unakula ugali wa bure, unavaa milegezo tu na kutongoza ovyo videm vya Facebook na kwenye mitandao mingine, basi ww ni hasara kabisa!!!!
 
Kwa miaka 30 kijana wa kiume unatakiwa atleast Uwe na familia, Uwe na shughuli yainayokuingizia kipato cha halali kinachoweza kutunza familia yako...Uwe atleast na Kakiwanja ama uwe unaanza shughuli za ujenzi.....Haya ni maisha ya Mtoto wa mkulima yule Mtanzania wa kawaida kabisa...
 
Mtiririko wako nime upenda kamanda
 
Thanks
 
Kwa miaka 30 kijana wa kiume unatakiwa atleast Uwe na familia, Uwe na shughuli yainayokuingizia kipato cha halali kinachoweza kutunza familia yako...Uwe atleast na Kakiwanja ama uwe unaanza shughuli za ujenzi.....Haya ni maisha ya Mtoto wa mkulima yule Mtanzania wa kawaida kabisa...
Good sana
 
Hakikisha angalau una uwezo wa kusave angalau mil moja kwa mwezi na unauwezo WA kutumia sio chini ya mil mbili kwa mwezi haijalishi unazipata vii
 
Mwanaume mpambanaji na mjanja ktk umri wa miaka 30 huwa anakuwa na mambo yafuatayo :-

(1) Ana mke na angalau mtoto mmoja
(2) Ana gari la kutembelea japo la milioni kumi
(3) Ana nyumba angalau moja au ndo anaendelea na ujenz yupo kwenye hatua ya lenta nk au ana kiwanja anajipanga kuanza kujenga
(4) Ana chanzo cha mapato cha uhakika kama vile biashara, ajira ya Kudumu nk

Haya yote ni tafsiri ya mtu, Kuna watu hawana hayo yote uliyoorodhesha lakini maisha yao yameja furaha. Na hawaoni kama wamepungukiwa na kitu.

Maisha na Mafanikio ni Tafsiri ya mtu mwenyewe!
 
Habari wadau wa jamii forum...
Ukiwa na miaka 30 unatakiwa kuwa na maendeleo gani haswa kama kijana wa kuime/mwanaume ili akutazamae aseme kweli wewe mpambanaji

Ukifika miaka 30 unatakiwa uwe umeachana na Ujana wa Kibiolojia na uwe kwenye Ujana wa Kujitambua.

Kujitambua Peke yake ni Maendeleo tosha.
 
Back
Top Bottom