Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Una uhakika na usemayo?Hakikisha angalau una uwezo wa kusave angalau mil moja kwa mwezi na unauwezo WA kutumia sio chini ya mil mbili kwa mwezi haijalishi unazipata vii
Labda kama wewe kwenu ulikuta mambo safi.
Kama wewe ni mtoto wa mkulima basi hiyo situation ni ngumu sana
