Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
Sasa unaweza kuta chumba kimoja wanaishi wasichana watokao familia tofauti, mmoja anaweza kuwa na jibaba huko mtaani mara limemnunulia TV, mara friji mara sijui nini, sasa wenzake watatamani, na wao watajitoa mhanga. amini usiamini kuna madenti wa vyuo wanajiuza mitaani.
wewe kwani mademu huwahui au?
kuna demu mmoja alikua class mate wetu pale mlimani, alikua ana jibaba lake flani hivi lilikua linakamua masters ya jioni, jamaa alikua na familia kabisa yaani mke na watoto, lakini mdada alihongwa kastarlet.
basi siku moja mama yake binti alifariki mazee, ile kwenda kwenye msiba huko kigamboni mbona ilikua aibu, tena aibu ya mwaka, yule binti kwa jinsi alivyokua anajishebedua utadhani anaishi masaki kwao choka mbaya kinoma, bora hata angekua anasaidia kwao basi tungemuona wa maana.
kingine maisha magumu sana mavyuoni huko, sasa wanafunzi wako tofauti kitabaka, wapo wale kwao mambo swafi, wapo wenzangu na mie wachovu.
sasa unaweza kuta chumba kimoja wanaishi wasichana watokao familia tofauti, mmoja anaweza kuwa na jibaba huko mtaani mara limemnunulia TV, mara friji mara sijui nini, sasa wenzake watatamani, na wao watajitoa mhanga. amini usiamini kuna madenti wa vyuo wanajiuza mitaani.
siku moja enzi hizo niko na shemeji/ wifi yenu alikua anasoma chuo kimoja kikubwa (jina kapuni)
aliniambia nikamtembelee, ebwanaeeeeeeeee hiyo room huwezi kuamini kama ni ya wanafunzi!, iko full kila kitu, nikamuuliza hivi nyie mko kusoma kweli au?, akasema ni vya mwenzake, sasa ndo ujue hapo wadada vyuoni wanamambo.
Mkuu hiyo niliyo highlight siyo yakuhitaji ushahidi milioni ni hali halisia.Mi wakati nipo chuo chetu cha bongo nilikuwa nipo mabibo hostel kwa muda wangu wote wa chuo.sasa ulikuwa unakuta mashoga zangu tukishapiga buku muda kama wa saa sit hivi wanavaa nguo zao wanaanza kushuka kwenda town sasa nikawa najiuliza hiyo ndo starehe au.Ila kwa kuwa nilikuwa uswahili nikasema heli yangu mambo ya mjini siyajui.
Kwa hiyo ndo hali halis.mahitaji yetu ni mengi wazazi wetu hawawezi kutumia hizo extra expenditure inabidi tuwatafute kama akina Fid hivi au masanilo watufanyie mambo.
Kwahiyo ndio sababu ya msingi ya kujiuza jamani??? let us change please
hizo extra expenditure inabidi tuwatafute kama akina Fid hivi au masanilo watufanyie mambo.
Hehehehe mimi iwa wananiita papaa duh yaani ulaini laini kama namsukuma mlevi vile nikienda mabibo pale napoint tu nasepa nakifaa cha ukweli na cha uhakika akikiona Yo Yo au Masanilo au NN lazima wanikabe koo.
Iwa tunaita niwezeshe nikuwezeshe maisha yanasonga.
Hii nayo ni sababu kubwa sana. Na wengine ni ulimbukeni tuWasichana wengi unakuta hawaja andaliwa kuishi maisha pekee yao. Wanaume unakuta tokea ni wadogo wanapewa uhuru kidogo lakini madada huchungwa zaidi. Sasa dada huyo atakapo onja uhuru kwa mara ya kwanza ata taka kulipizia au atakua tu hajui jinsi ya kujilinda.
Naona habari hii ni kwa mabinti. Je kwa vijana wa kiume mambo yakoje?
Wengine ni HULKA tu!wanasema alivyo ndivyo alivyo.Kuna wanawake wanaamini wanapotongozwa sana na ''kutoa huduma'' sana ndio wanakuwa wanawake kamiliHii nayo ni sababu kubwa sana. Na wengine ni ulimbukeni tu