Maisha ya Arusha sio

Nilikua napembua comment moja baada ya nyingine

ningekosa hiii comment ningeishusha mimi kwa maelezo

ya kina na yakueleweka,yani code ulizomtajia asilogwe kbsa akaenda

akiweka tu mguu wake hiyo mitaa atarudi na thread ingine walahi vile

Hiyo mitaa ni weka mbali na mabishoo na wageni wa mji.
 
**** mkanganyiko kati ya muarusha na mmasai,mmasai ni aghalabu kumkuta mjini,ila waarusha ndiyo wakaazi wa asili wa arusha mjini(ambayo ndiyo main character kwenye bandiko hili)pamoja na wambulu kwa maeneo ya kuanzia makao mapya hadi kaloleni,huku waarusha wakibaki kwenye mitaa ya pembeni kama unga ltd,marejoo,mbauda,lemara,kijenge,sakina, na kwingineko(enzi hizo mitaa kama njiro na kwa mrombo haikuwepo!!!) Nieleweke vizuri,Haikuwepo, sasa hao waarusha nadhani waliathiriwa na lifestyle ya wageni,hasa kutokea kilimanjaro na meru ya juu huko singisi nk,wakaanza kuona kama wageni wanawapita kimaendeleo huku wakiwa wamesimama,na ndiyo case za ukabaji na uvunjaji wa nyumba ulianza kusikika hapo,baadaye vijana wa kiarusha wasiopenda kujishughulisha na kazi halali wakapata sapoti ya vijana wa Ngarenaro(samahani,lakini ngarenaro ya miaka michache tu ya nyuma ndiyo iliyoongoza kwa binaadamu wavivu) kukiwa na jamii kubwa ya wahamiaji wa kirangi, na hadi leo ukikamata wakabaji kumi,basi sita watakuwa ni waarusha na warangi,sasa hivi hali imebadilika mno,kuna mitaa mingi mipya,kuna wahamiaji wengi kutoka ndani na nje ya tanzania,ile mambo ya kujuana inatokomea kwa kasi(japo bado yapo kwenye maeneo kama huko kidin'ga) karibu arusha mkuu,unga ltd inavunjwa vunjwa,yale majumba mabovu soon hayataonekana barabarani.
Sasa mbona Wamasai watu poa sana na wanafahamika Nchi nzima?

Kamwe hawawezi kuanza kukuchokoza wewe labda uanzishe ugomvi wewe.

For the first time nakusikia wewe ukisema Wamasai wana roho mbaya.
 
Ushamba mwingi sana huko SHUGASTAN,kutoboana kwa visu sijui sime ni ushamba sana,huku tulipo watu hutolea bomba tu..! ukizingua.
 
Dada ni nin lakin?,Au Unatamani kutafunwa?...
 
Sifa za kijinga hizo
Katika hili kaa mbali zaidi maana haujaelewa hata kidogo,unapokuwa Jf unapaswa kuwa Great Thinker mara 100 ya unavyotumia kufikiri ukiwa ndani ya mitandao mingi.
 
Wanaiga tabia za nchi jirani ! Angalia mpaka Hiace zao (machata kama Nairobi)
 
Shida ya hapa Chuganistan lazima. Uwe mbabe, bila hivyo utaonewa sana tu au kuuliwa kabisa
 
Katika hili kaa mbali zaidi maana haujaelewa hata kidogo,unapokuwa Jf unapaswa kuwa Great Thinker mara 100 ya unavyotumia kufikiri ukiwa ndani ya mitandao mingi.
Great thinker wa kujisifia uhuni na ukorofi wa chuga,.. Acha upopompo wa Arusha wewe,.. Great thinker uwe wewe,..!? Pambaffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…