People za kule miyeyusho mingi, mavaz wanayovaa ndo kabisaaa , mademu wazur Ila Wana roho mbaya kinyama , uhai wa mtu hauna thamani Arusha, Arusha mazingira na Hali ya hewa safi sanaArusha matusi ni lugha ya kawaida na wenyewe haiwashtui hata kidogo,.. Mtu anatukana tusi zito akiwa na watoto wake na mkewe na wao wanachekelea tu, ni kawaida kabisa... Ila tumesahau kwamba hawa watu ni wamasai,.. Kwa asili yao na hizo tabia ni zao,.. Kwahiyo ndivyo walivyo hawatakaa wabadilike na kustaarabika.. Uhuni ndio sifa zao,.. Ndio maana ukiingia Arusha, na ubadilishe driving ya gari yako, hapa utaona vurugu nyingi barabarani na ni ngumu kuzizoea ila ndivyo walivyo... Taa za barabarani kila kukicha zinagongwa kwa ubabe wa kutofata sheria,... Awe mzee, mtoto au mke,. Tabia zao ni sawa,.. Tena wanawake wa Arusha ni wakorofi zaidi ya wanaume,.. Usidandie mke wa Arusha, wana roho mbaya sana hawa viumbe... Ila mimi naishi nao nikiwa najua ni WAMASAI.
Wewe umeandika vitu vya kufikirika zaidi au vya kusimuliwa sijui unatoka moshi sehemu gani.Mkuu umeandika uongo mtupu Arusha Moshi wanawake ni wa babe, kuchomana visu kumepungua sio kuwa hawachomani
Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa,
Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo
1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa kazi wameingia ndani ya ukuta wamechukua piki piki na kusema.
Mwezi Uliopita pia waliingia kwa mjeda mwingine huko kwa morombo wakachukua kombati. Lilikuwa kwenye kamba lime Anika.
2) Ugomvi kidogo mtu anachomoa kisu. Na hapepesi anakupa cha kichwa au cha tumboni. Si mwanamke si mwanaume wote ni visu wanakushikia na hawaogopi.
3) Kubwa zaidi kuliko yote ni Bangi na. Mirungi
Si wanaume si wanawake Bangi na Mirungi huwaambii kitu. Tena Mirungi ya siku hizi wanaagiza Nairobi wanaita wenyewe ndo gredi one
Mijanamke ya hapa kukuta yanapiga mizinga ya nyagi huku yanachanja Yan kawaida sana.
4) No story no ushost kila mtu na laifu Lake, kila mtu hapa anamaindi mambo yake.
Katika mitaa ambayo haikaliki ni matejoo, ugalimi, na Ngarenaro Yan huko hata polisi wamenyoosha mikono.
Japo patrol ya. Polisi ni usiku na. Mchana lakini vijana hawasikii na hawaelewei
Karibu sana Mkuu, Morombo kila jumapili sikosi, kula mbuzi hadi ng'ombe wanavimbaNilikuwa hapo Arusha last wk!!! Kuna kitu umesahau, kila mtu hasa sehemu za starehe anakuwa kama anatahadhari muda wote kwa lolote!!!! Yaani hamuamini mtu!!!! Pamoja na yote hayo Arusha raha sana!! Pub kama Picnic!! Habari ya mjini!! Nenda The Don!! CocoRiko!!!! Balaa ya Jiji!!!
Kwa Murombo nilienda kula mbuzi na pumbu zake!! Hatareeee!!!![emoji91][emoji91][emoji91]
Nimechafua vijiwe vyao mpaka jamaa wakaanza niona kama mwenzao!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arusha nitarudi tena!!!
Wanasemaga unyama unyamani tena usiombe uanze ugomvi na. Mwanamke wa sokoni utajuta mzaziPeople za kule miyeyusho mingi, mavaz wanayovaa ndo kabisaaa , mademu wazur Ila Wana roho mbaya kinyama , uhai wa mtu hauna thamani Arusha, Arusha mazingira na Hali ya hewa safi sana
Jiji la kishamba sana saa 1 watu washalala
Btw usije ukapata manzi wa kiarusha alafu ukataka kumcheat. Akikufumania utabaki story.
Lini?Kijenge wameanua nguo za mke wangu,.. Hahahaa
Huyu anazungumzia mambo ya miaka ya 80 na 90Yaani sehemu kama hizo siwezi kuishi hata siku 2..... sehemu ambayo haina usalama sio mahali pakuishi kabisa
Arusha matusi ni lugha ya kawaida na wenyewe haiwashtui hata kidogo,.. Mtu anatukana tusi zito akiwa na watoto wake na mkewe na wao wanachekelea tu, ni kawaida kabisa... Ila tumesahau kwamba hawa watu ni wamasai,.. Kwa asili yao na hizo tabia ni zao,.. Kwahiyo ndivyo walivyo hawatakaa wabadilike na kustaarabika.. Uhuni ndio sifa zao,.. Ndio maana ukiingia Arusha, na ubadilishe driving ya gari yako, hapa utaona vurugu nyingi barabarani na ni ngumu kuzizoea ila ndivyo walivyo... Taa za barabarani kila kukicha zinagongwa kwa ubabe wa kutofata sheria,... Awe mzee, mtoto au mke,. Tabia zao ni sawa,.. Tena wanawake wa Arusha ni wakorofi zaidi ya wanaume,.. Usidandie mke wa Arusha, wana roho mbaya sana hawa viumbe... Ila mimi naishi nao nikiwa najua ni WAMASAI.
Sasa unafikiri kubadilisha asili na tabia yako ndio sifa?Mmasai ni Mmasai tu,.. Asili haiwezi badilika
Wewe umeandika vitu vya kufikirika zaidi au vya kusimuliwa sijui unatoka moshi sehemu gani.
Arusha matusi ni lugha ya kawaida na wenyewe haiwashtui hata kidogo,.. Mtu anatukana tusi zito akiwa na watoto wake na mkewe na wao wanachekelea tu, ni kawaida kabisa... Ila tumesahau kwamba hawa watu ni wamasai,.. Kwa asili yao na hizo tabia ni zao,.. Kwahiyo ndivyo walivyo hawatakaa wabadilike na kustaarabika.. Uhuni ndio sifa zao,.. Ndio maana ukiingia Arusha, na ubadilishe driving ya gari yako, hapa utaona vurugu nyingi barabarani na ni ngumu kuzizoea ila ndivyo walivyo... Taa za barabarani kila kukicha zinagongwa kwa ubabe wa kutofata sheria,... Awe mzee, mtoto au mke,. Tabia zao ni sawa,.. Tena wanawake wa Arusha ni wakorofi zaidi ya wanaume,.. Usidandie mke wa Arusha, wana roho mbaya sana hawa viumbe... Ila mimi naishi nao nikiwa najua ni WAMASAI.
kabisaYaelekea huyu aliondoka arusha 1995!! Anaongelea habari ya unga ltd na ujambazi leo? Haijui hata mitaa hatarishi kwa sasa,ngoja nimdokeze kidogo- pandisha barabara ya sanawari,panda juu kabisa hadi ukute daraja,ukishavuka hilo daraja sasa jiendee tu slow slow,maana muda wowote unakabwa,umeshaisikia kidin'ga? Basi bora usiisikie, (2)panda mianzini kutokea kwenye mataa pale, nenda juu kama kilometa 5 hivi,kuna mtaa kule wakaaji wote wanajuana,ukiwa hueleweki basi wenyeji wanakupora kila kitu mbele ya kadamnasi, in short Arusha ina washamba flani wachache tu (mleta mada akiwemo) ambao hawajawahi kutoka nje ya arusha na ambao wanadhani ni arusha tu ndiyo kuna vibaka,wanadhani ni arusha tu ndiyo kuna wavuta bangi,na wanafikiri ni ujanja kuvuta bangi huku unatembea barabarani,au kutembea na beto na bisibisi wanaona ni uselaaa! Hao washamba wachache ndiyo wanaotuharibia sifa ya kamji chetu!!! Najisikia salama mno kutembea unga ltd saa saba za usiku kuliko kukatiza temeke saa 12 jioni,