Maisha: Ukikukatana marafiki wa "high class" usikimbilie kuomba hela, kutangaza shida zako ama kuwalaumu pindi mnakutana

Sahihi mkuu
muongo! Kamwe hakupi ushauri....utoke halafu umdharau???......nani anapenda kudharauliwa hata baba yako mzazi hakupiii mali zake kirahisi eti uwe km yeye???!! Mweee!! Atakwambia subiri kwanza mpaka nife..... Ndo maana sisi watoto wa matajiri tunawaliza sana pesa zao hao madingi.... Akiwa dingi tajiri mjanja atakupeleka shule za gharama ili uwe busy na shule then kazi..ili apunguze vikwapa nyumbani kwake......lkn akikuacha tuuu hapo atalia kila siku! Mara gari imeuzwa mara ngombe ameuzwa kijijini. Mara kile kiwanja cha mbezi kimepigwa bei na mwanao ....yuko wapi sasa??? Hivi tunavoongea wako zambia.... kaenda south na rafikize.mdingi pressure juu!!...hajakaa sawa mdogo mtu karudishwa home!! Nini kala karo yooote!!! Sasa...ili arudi shule lipa tena karo upyaaa.hutaki anakaa hapo home kuvizia misosi....ukilemaa huyo atakuibia tena.....km kaka yake....upo hapooo!!!
 
Sawa boss
 
Back
Top Bottom