Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Hahaa au jamaa hujawasiliananae mda sana anakupigia simu swali la kwanza "anakuuliza uko wapi sikuhizi?"Marhaba mleta mada. Inanikera sana jamaa tumepotezana miaka zaidi ya 10 bahati nzuri tumerudisha mawaliano,siku moja baadaye unanipiga mzinga. I hate this