B BAMIZER Member May 2, 2022 52 58 May 15, 2022 #1 Kumekua na misemo kwamba maisha ni haya haya Jamani tusirizike na halizetu za chini, tupige KAZI Tutafute hela,tupambane. Wanangu tusibweteke kwamba maisha ni haya haya
Kumekua na misemo kwamba maisha ni haya haya Jamani tusirizike na halizetu za chini, tupige KAZI Tutafute hela,tupambane. Wanangu tusibweteke kwamba maisha ni haya haya
Chrysanthemum JF-Expert Member Oct 28, 2016 1,216 4,579 May 15, 2022 #2 Maisha ni haya haya hebu tuache
Mr.genius JF-Expert Member Feb 20, 2012 1,369 1,169 May 15, 2022 #3 Chrysanthemum said: Maisha ni haya haya hebu tuache Click to expand... Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Chrysanthemum said: Maisha ni haya haya hebu tuache Click to expand... Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Restless Hustler JF-Expert Member Apr 9, 2017 4,742 17,982 May 15, 2022 #4 Umetafsiri tofauti. Wanaposema maisha ni haya haya humaanisha tuponde raha na kujifurahisha kwani hakuna maisha mengine zaidi ya haya
Umetafsiri tofauti. Wanaposema maisha ni haya haya humaanisha tuponde raha na kujifurahisha kwani hakuna maisha mengine zaidi ya haya
casanova69 JF-Expert Member Sep 14, 2015 2,358 2,144 May 16, 2022 #5 Maisha ni haya haya Yani achana na maisha ya kufikilika, Sijui ingekuwa hivi ningekuwa vile