maisha sambamba na usaliti

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
wakubwa,
Dalili ya mafanikio katika safari yoyote ile,iwe safari ya ukombozi,safari ya kupambana na maisha n.k....Ni lazima iwe na usaliti.Rejea safari za yesu,alisalitiwa na Yuda na petro,rejea video sarafina,kuna watu walikuwa wakiwasaliti,Je umejiuliza wewe upo kwenye safari gani? Na umesha salitiwa?umewahi kusalitiwa au kusaliti?
 
mm kuna mtu namdai laki moja...
mwaka wa pili sasa huu...
sijui na huo ni usaliti?...
 
mapenzi na usaliti ni kama nyama choma na pilipili...
 
jamani,niliposema USALITI mbona wote mmewaza mapenzi tu,emu jiulize hamujawai kuwa kampan ambayo mmefulia mnasaidiana alafu mmoja akipata tu anawatenga nyie msikua nacho,au mfano mwingine chuo mnakuta mnapanga kugoma na wakati mnapanga kumbe kunawatu wanapeleka taarf juu ya mipango yenu.
 
Hii inahitaji kuumiza kichwa kidogo kwa kufikiria, na humu chitchat is supposed to be stress free zone

oky ngoja tusubir ma-operator wataamua vp,au ndo unanisaliti
 
bila kusalitiana mapenzi hayanogi, kusalitiana ni sawa na kiitikio kwenye beti!
 
Me nimeshawahi kusaliti.
Tena nilimsaliti mtoa mada Ruhazwe JR.
Ila siwezi msaliti nilie nae sasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…