Baba Ubaya
Senior Member
- Jun 24, 2008
- 127
- 21
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
Hii imetulia labda wajibu wenye maisha +
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
ni kweli lakini tuanze na miss Tanzania, maana mashindano hayo ni mtoto wakeMmh kama habri hizi ni zakweli basi Maisha Plus ifungwe.
si kuna maneno yanayoendelea mtaani kuwa kp kanasa? asiwe kuwa anasambaza? umasikini na tamaa utawamaliza mabinti zetu
Huyo KP na ngono mkuu ni kidole na petetusikimbilie ku crush kila kitu, lisemwalo lipo, kwani credibility ya watu kama kp c inaeleweka kua ni mtu wa totoz, siwez shangaa maana viongozi wa uo mchezo ni macheck bob tu wako pale kutafuta wasichana!
Mkuu Zyansiku uko sahihi kabisa, nilikuwa naangalia ile jana na wife nikamwambia kabisa hizi fadhila anazofanyiwa Neema hizi si za kawaida. walijidai kumtoa feki, ili isionekane kama ni upendeleo wakamuunganisha na yule jamaa wa kiume, wakapelekwa saluni sijui kufanywa nini huko, nadhani ilikuwa opportunity ya kwenda kumtumia. sasa wamerudi tu kundini kapigwa na keki ya Birthday, na mwenzie aliyekwenda naye akawa evicted yeye amebaki. Mkuu AMA nadhani jaribu kufuatilia vizuri mtiririko wa matukio yanavyokwenda pale kijijini utaelewa. Lisemwalo lipo baba
katika kuthibitisha kile ambacho kimekuwa kikihisiwa na baadhi ya watu juu ya ushiriki wa dada zetu katika matukio mbali mbali ya ulimbwende nk kuwa ngono ni kigezo muhimu na wahusika huruka vihunzi mita 1000 mara wanapo ulizwa juu ya tuhuma hizo, ukweli unazidi kudhihirika kuwa yawezekana kweli ngono ni kigezo muhimu kwa mengi ya mashindano hasa yanayohusisha wasichana.
Haya yamefahamika baada ya chanzo cha habari hii chenye uhakika kuthibitisha kuwa ndani ya maisha plus ngono nje nje! Na wanaoongoza kwa ngono ni viongozi waandamizi wa maisha plus akiwemo kp. Habari zaidi zinasema ni hatari sana kwa mshiriki wa kike akitakiwa na viongozi hao na yeye kukataa kata kata lakini kibaya zaidi washiriki wanaishi maishi double standard ikiwa ni pamoja na wengine kuwa na access na nje ya kijiji, kwa wale wanaofuatilia mchezo huu watakumbuka katika kutajana majina kwa mara ya mwisho mshiriki neema kutoka tabora alimtaja mshiriki wa shinyanga neema(washinyanga) kuwa anapata taarifa za nje hali ambayo kipanya alimaliza mahojiano hayo haraka haraka na wakati mshiriki kawther msomali kutoka dar kuna siku wakati amepona kwenye eviction alipata kusema kuna mengi yanayotendeka nyuma ya pazia ambayo si rahisi kwa watu wa nje kuyaona na kuyajua! Lakini pia siku chache zilizopita mshiriki mwingine alipata pia kusema maisha plus bila ukimwi inawezekana, hii ni kwa wale wanao fuatilia saaana mchezo huu watakuwa wamepata kusikia haya taarifa mpya kutoka maisha plus zinadai kuwa mshiriki neema wa shinyanga ni kipenzi cha kp wanapika na kupakua pamoja kila uchao kibaya zaidi vinywaji kama vile pombe nk ambavyo kp huletewa kama kiongozi mara kwa mara kama si kila siku basi hutumia nafasi hiyo pia kumpa neema wa shinyanga ili aburudike nae na habari zimevuja kuwa neema wa shinyanga ndiye mshindi wa maisha plus 2010! Na kp ana mawasiliano ya karibu kila siku na baba wa neema shinyanga ambaye taarifa zinadai mawasiliano yake na benki si mabaya sana na muda huo neema pia huutumia kuwasiliana na rafiki na watu mbali mbali.
Hongera kipanya! Hongera neema shinyanga!
kama huyo neema wa shinyanga amempa kipanya hicho kitu chake nimakubaliano yao hatuna mamlaka ya kuwazuia.
Isitoshe huyo neema ameshatoka katika mashindano kwaio kipanya atakuwa na uhuru nae bila kuingiliwa.
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
.... kitu cha msingi ni kuufanyia utafiti kila kina cho jiri ndani ya kijiji cha maisha Plus hasa kwa wale ambao wanaufatilia mchezo huu vinginevyo ni vigumu kuufatilia kama huna access hivyo kutoa michango ambayo haina mashiko kama huyo aliyesema kuwa Neema katoka wakati aliyetoka ni Neema Tabora!
Kwanza kuliko kuleta allegations ambazo hazifanyiwa, kafanye wewe huo utafiti. Tena uweke na references za kueleweka toka kwenye other reality programmes za Tanzania na nje ya Tanzania. Nevertheless, usiache kuelezea kuhusu terms of reference and conditions za Maisha Plus.
Pili umeona Maisha Plus ndio tatizo kubwa la kitaifa hadi ifanyiwe utafiti wa kila linalojiri humo ndani? Labda wewe ni mhamasishaji, je unaweza taja hamasa za mambo yanayoikumba jamii ya Watanzania na yanayohitajiwa utafiti wa kina?
Mwisho, unaweza kuwasiliana na TBC au KP kama una kwere, mbaratata au utata kuhusu Maisha plus......