Maisha plus-ni zaidi ya kipindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha plus-ni zaidi ya kipindi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mujungu, Sep 25, 2012.

 1. mujungu

  mujungu Senior Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nimeangalia usaili wa maisha plus leo husiku , kwa kweli inatisha na kusikitisha. Ongera sana kipanya kutuonyesha jamii yetu inaelekea wapi.

  Kama mtu anashindwa kujua afrika mashariki in inchi ngapi, sisi tunaishi ndani au nje ya dunia na mengineyo hii ni hatari. Kama ujaangalia , tafuta muda uangalie. Naomba kipanya aweke huo usaili kwenye youtube. Nawasilisha.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mambo yote "lactogen"
  nimeburudika kimtindo.
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,267
  Likes Received: 12,987
  Trophy Points: 280
  bora hivi vya kufundisha
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kinaonyeshwa saa ngapi na katika TV stesheni gani??
   
Loading...