Hata mimi nilikuwa naipenda sana,kwani ni ubunifu lakini pia michezo kama hiyo kwa nchi zilizoendelea zinaongeza ajira hebu angalia kuna sho nyingi kama amerikan idol, na nyingine nyingi ambazo nadhani pia zmesaidia katika maendeleo yao na utakuta hata wadahamini wake wanakuwa wa ukweli kwahiyo hata hiyo maisha plus ingepata wadahamini wa ukweli hasa yaani ingekuwa bonge la show afrika mashariki na kati badala ya hiyo big brother.