Maisha + pesa + mapenzi?!

Maisha + pesa + mapenzi?!

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,145
Reaction score
249
Ktk maisha ukiweza tu kupata hela na mapendo na amani basi yani hapo sasa ndo kutakuwa na maana ya kuwa na maisha sasa tofauti na hapo ukikosa vyote basi bdo maisha huja yapata na ndicho tunachokitafuta hapa duniani na ndiyo amri moja ya kwamba tupendane imetokwa kwa Mungu?!

Ni hayo tu, mi mgeni humu ndani so nikaribisheni basi.
 
Tutakuwa pamoja sana watz wenzangu amani sana kwenu.
 
Marafiki ni muhimu kuliko mapenzi....
Tafakari kwa undani...mapenzi hufa ila marafiki wanadumu na hawachuji
Karibu Jf..karibu ChitChat
 
Ktk maisha ukiweza tu kupata hela na mapendo na amani basi yani hapo sasa ndo kutakuwa na maana ya kuwa na maisha sasa tofauti na hapo ukikosa vyote basi bdo maisha huja yapata na ndicho tunachokitafuta hapa duniani na ndiyo amri moja ya kwamba tupendane imetokwa kwa Mungu?!

Ni hayo tu, mi mgeni humu ndani so nikaribisheni basi.
Karibu sana JF,na karibu mnooooooooooo,chit chat,ni jukwaa tamu kuliko yote,wanaonogewa wapige makofi tafadhali!!!

BTW,uko sahihi kbs,hayo mambo yakimiss hata km una afya njema utaugua msongo wa mawazo na utakosa furaha na kujiona kuhitaji kinachomiss ili kuikamilisha furaha ya maisha.
 
Back
Top Bottom