Maisha ni kutegemeana ........

Maisha ni kutegemeana ........

Joined
May 5, 2013
Posts
13
Reaction score
2
Maisha ni kitu cha ajabu sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari, ona km hii....
1.Daktari anakuombea uumwe.
2. Wakili anakuombea upate kesi.
3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe.
4.Polisi anakuombea uwe mhalifu.

cha ajabu na kushangaza Mwizi peke yake ndo anakuombea ufanikiwe......!!!!
 
Haha mwiz ndo katisha hapo anaomba nifanikiwe tugawane

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
mchawi anakuombea ulale

kinyozi anakuombea nywele zikue

barmaid anakuombea ulewe
 
Back
Top Bottom