Wana maisha mazuri,,wapo bize na workMaisha katika kisiwa cha Greenland ni kama kijijini ,wananchi hawana access ya huduma ya internet,hivi kweli kama hata internet hakuna wanaishi vipi hapo huenda hata kinachoendelea kuhusu wao kutwaliwa na Trump hawajui,wao maisha yao uvuvi tu..
View attachment 3529758
Wako 56,000Maisha katika kisiwa cha Greenland ni kama kijijini ,wananchi hawana access ya huduma ya internet,hivi kweli kama hata internet hakuna wanaishi vipi hapo huenda hata kinachoendelea kuhusu wao kutwaliwa na Trump hawajui,wao maisha yao uvuvi tu..
View attachment 3529758
We jamaa hii taarifa yako umeipata wapi? Je ushawahi kusafiri nchi yoyote inayopatikana katika bahari ya Atlantic and actic oceans?Maisha katika kisiwa cha Greenland ni kama kijijini ,wananchi hawana access ya huduma ya internet,hivi kweli kama hata internet hakuna wanaishi vipi hapo huenda hata kinachoendelea kuhusu wao kutwaliwa na Trump hawajui,wao maisha yao uvuvi tu..
View attachment 3529758