Maisha Matamu ya Ushagoo

Maisha Matamu ya Ushagoo

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
528520_283470615061606_785378302_n.jpg
 
Kweli aisee no stress ni kufaidi tu mazingira ya asili
 
pure african life ila sehemu kama hizo kwa land slide ndio zenyewe.
 
Hayo madirisha yalivyo nadhani kuna baridi sana, hii huenda ni lushoto kwenda mlalo
 
duh kitunguu kinalimwa hadi mlangoni!!! kaka mkoa gani na kijiji gani?
 
This is the best life I`ve ever happen to live....kila kitu unapata kiko Fresh sio huku tunakoishi leo kuku unampata ameshakaa kwenye jokofu wiki mbili dah,ipo siku tu nitarudi tu ..
 
Wenyewe wanaoneka ni wenye furaha maskini ya Mungu.
 
Kama na pafahamu hapa. Designi fulani ya kule Old Moshi vijijini milimani...baridi ya kule ni nzuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom