😅😅😅😅😅Lile Jambo letu lipo
Tunapaswa kuingia mtaani watanzania tuache kulalamika.Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka. Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka. Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya Ukraine na urusi, kila kitu kimepanda kutokana na bei za mafuta bado Serikali imeshindwa hata namna ya kupunguza hili ili angalau wananchi ambao ni wa piga kura wao wapate nafuu. SWALI HAWA WANANCHI MASIKINI WA TANZANIA WATATETEWA NA KUSAIDIWA NA NANI?.
SWALI HAWA WANANCHI MASIKINI WA TANZANIA WATATETEWA NA KUSAIDIWA NA NANI?.
fanyeni kaziSerikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka.
Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka.
Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya Ukraine na urusi, kila kitu kimepanda kutokana na bei za mafuta bado Serikali imeshindwa hata namna ya kupunguza hili ili angalau wananchi ambao ni wa piga kura wao wapate nafuu.
SWALI HAWA WANANCHI MASIKINI WA TANZANIA WATATETEWA NA KUSAIDIWA NA NANI?.
Tuingie mataani kama wale panya road.Tunapaswa kuingia mtaani watanzania tuache kulalamika.
Lile Jambo letu lipo
Tafuta pesa kijana maisha ni malaini tu!Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka.
Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka.
Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya Ukraine na urusi, kila kitu kimepanda kutokana na bei za mafuta bado Serikali imeshindwa hata namna ya kupunguza hili ili angalau wananchi ambao ni wa piga kura wao wapate nafuu.
SWALI HAWA WANANCHI MASIKINI WA TANZANIA WATATETEWA NA KUSAIDIWA NA NANI?.
Pesa ya Kukurahisishia Maisha yako yasiwe Magumu yote kapewa Producer wa Royal Tour Film hivyo kuwa Mvumilivu kwa sasa mpaka pale zitakapopatikana zingine.Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka.
Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka.
Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya Ukraine na urusi, kila kitu kimepanda kutokana na bei za mafuta bado Serikali imeshindwa hata namna ya kupunguza hili ili angalau wananchi ambao ni wa piga kura wao wapate nafuu.
SWALI HAWA WANANCHI MASIKINI WA TANZANIA WATATETEWA NA KUSAIDIWA NA NANI?.
NakujaaMkuu kama unataka mali utaipata shsmbani.tunasubiri mavuno huku kyela njoo nikupe connection hela ipo ni utayari wako tu
Wacha waidome namba eeeeeee eee sisiem mbele kwa mbeleeeMi naimba zangu... Acha waisome namba weee...watasoma namba...maisha ni yale yale...