Ngopyoro city
Senior Member
- Aug 28, 2020
- 144
- 224
πUko na izo picha alizokutumia tuone [emoji847]
Mkuu, humans differ when it comes to how we react towards anger. Tuna "brain chemistry" tofauti tofautiPoint hapa aisee ni nini kinafanya paka unampiga mwamamke kwetu sis wanaume? Mimi sioni sababu ya kumpiga hata iwe amekukosea nini
Kuna njia nyingi tu za kukwepa kupigana ukiona huyu hafai bas ni kheri mkaachana kwa amani tu
Yes naunga mkono hoja mkuuMkuu, humans differ when it comes to how we react towards anger. Tuna "brain chemistry" tofauti tofauti
It is what it is mzae!Mkuu, humans differ when it comes to how we react towards anger. Tuna "brain chemistry" tofauti tofauti
Sio yakipona sahivi unakuta wanakandana..πUtashangaa baada ya week 2 majeraha yakipona wanarudiana
ππ Achana na kitu inaitwa mapenzi, mabeberu walisemaga love is blindSio yakipona sahivi unakuta wanakandana..π
Mkuu kiporo hakihitaji moto mwingi [emoji16][emoji16]Naona umefurahia utaletewa papuchi very soon [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa zile picha jamaa utafikiri alikua anaua nyokaVikofi viwili vitatu ni sawa pale inapobidi..Usimjeruhi tu..
Ati mabeberu..π€£ kukufundisha nani hayaππ Achana na kitu inaitwa mapenzi, mabeberu walisemaga love is blind
Wacha ujinga wewe papuchi haisuswi.Mkuu kiporo hakihitaji moto mwingi [emoji16][emoji16]
Ingawa kwa Sasa ni rafiki tu hakuna love kabisa Mana ana mume na mimi nina wife aisee I respect my wife