Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
Jg vxsd mhx DSTV tu.[emoji38]...
kwa hiyo hapo bora afanye kipi
fafanua mkuuUkipata dada wa kukudanga utaleta uzi tena humu kuja kuutetea upweke..
Kama DSTV home ninayoJg vxsd mhx DSTV tu.
AsantePole
Ukimpata atakufafanulia kwa vitendo.fafanua mkuu
mmmhFika Kanisani Kwangu Tuombe Pamoja Kuondoa Hiyo Hali
Usisahau Sadaka Yako Ndiyo Muhimu Sana.
Wamejaa uongo tu,Ukimpata atakufafanulia kwa vitendo.
Asante,ningependa nikuone inboxMaisha haya unahitaji mtu wa kumshirikisha furaha na huzuni zako my dear! Naomba niwe fariki yako?
Kuwa utahakikisha anakufa?Maisha haya unahitaji mtu wa kumshirikisha furaha na huzuni zako my dear! Naomba niwe fariki yako?
kufa tena?Kuwa utahakikisha anakufa?
Yes, watu wapo wengi sana but mimi sinaUnaposema upo peke yako unamaanisha ndani ya nyumba unayoishi au duniani hapa?
Mbona umelalamika sana wakati dunia ina watu wengi sana kila kona?