Maisha haya nipo mwenyewe

Maisha haya nipo mwenyewe

Yaani basi tu nyota yangu ni ya kuwa alone alone tu
Change your interpretation.

Kila kitu kinawezekana. Ni wewe tu kuamua unatakaje. Maisha yetu mostly ni reflections ya yale tunayo yawaza.
 
Jichanganye na usipende kujitenga na watu/ndugu
Hali ya kujitenga huwa inakuja automatic asa sijui ni sisi tuliozaliwa alone alone nlkuwa na rafk yuko alone nae hapendi kuchangamana same to me nko hvohvo na nkijitahidi kujichanganya nashndwa yan mejitahidi meshindwa hata itokee msiba sherehe unakuta mejitenga pemben kivyangu yan daah sipend ila inakuja automatic
 
Umejiaminisha hivyo (self fulfilling prophecy).Hata watu wakiingia kwenye maisha yako,automaticaly unafanya namna ya kujiondoa/kuwaondoa.Kama haikuathiri we endelea na maisha yako.
 
Hali ya kujitenga huwa inakuja automatic asa sijui ni sisi tuliozaliwa alone alone nlkuwa na rafk yuko alone nae hapendi kuchangamana same to me nko hvohvo na nkijitahidi kujichanganya nashndwa yan mejitahidi meshindwa hata itokee msiba sherehe unakuta mejitenga pemben kivyangu yan daah sipend ila inakuja automatic
Pole sana dear, ni mazoea ndio yanasababisha hvyo ila unaweza kuvunja hayo mazoea. Unajichanganya tu hata usipoongea sana.
Jitahd kufanya hivyo itakusaidia unless unaenjoy your own company na haujihisi mpweke.
 
Back
Top Bottom