Maisha halisi ya Burundi

Ndo tunaelekea huko So sad my Tz.[emoji29][emoji29]
 
Kwaiyo fursa zipo nyingi ila nasikia vibaka kila sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kipimo cha HEKARI YA MITA 100..... Ni kipimo kipya eti
 
Funguka mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu toka huwezi kuamini maana nilifikia Buyenzi. Lakini kote nilikozunguka kuanzia Ngagara Musaga Nyakabiga Bwiza Rohero Kamenge Kinama Kanyosha kote nilikutana na hali hiyo. Kila mtu alikuwa anatafuta nafasi ya kuniibia ni stori ndefu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulibeba mabegi mengi au ulikuwa kaharufu kunukia pesa pesa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…