Ngoja na mimi nifunguke .............
Burudhi ni nchi masikini sana yaani eneo lenye bata ni kama asilimia 5 tu ya nchi yaani bujumbura (ukubwa wa robo dar ) na vimiji vingine viwili ukubwa wa makambako ,ila bujumbura patamu ,maisha ni cheap sana kutokana na pesa yetu kuwa juu kidogo ya yao tshs 79000= 100,000 br hivyo ukilala lodge ya elfu 25,000 asee ninzuri balaa hadi fridge ,ila burundi centre ni aghali sana mahoteli ,ushauli wangu nendeni NIWAKALI hotel ipo bwiza ,inaulinzi balaa hata ukichukua malaya huingii naye kama hana kitambulisho na wanaki retain hadi uthibitishe uko salama na umeruhusu.
View attachment 922889
USWAZI BWIZA (MANZESE YA BUJUMBURA
View attachment 9228910
Warundi wengi sio waaminifu mfano usipande tax kabla hamjaelewana bei atakutoza bili utakimbia na wagonvi sana ,wakijua ww mtanzania wanajua umekuja kula bata au mnunuzi wa madini kuwa makini sana ,chakula kizuri ni ugali/ndizi na mishkaki yao maalumu inaitwa MICHOPOO inaseviwa na vitunguu vyeupe
View attachment 922892
View attachment 922893
MA-BEACH MAZURI BUJUMBURA
View attachment 922894
View attachment 922895
Hii inaitwa borabora beach ni nzuri balaa ,hapa wanaenda warudi wenye pesa magari utayoona ni latest na makali sana ,nyingine ni sagaplashe hii changanyikeni vitoto vizuri vya uswazi vimejaa wengi wanasura za wastani ila kiuno bonge la zigo ,lakini pia kwa dada zetu huwasifu warundi hususani waliochanganyika na watutsi ni mahandsome sana na wako masculine .
View attachment 922896
kuna club yao nimeisahau jina hii hapa ila nusu ya watu ni wazungu halafu hauruhusiwi kuingia na sandles wala singlet
View attachment 922899
Namengi ya kusema juu ya bujumbura niishie hapo