Maisha halisi ya Burundi

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hakika mke wangu hujakosea,Mumeo natafuta pesa nikununulie 'Jaguar pliza' ukawatambie wakina mama wenzako hapo Bujumbura.
Maseru siyo Bujumbura!! mwalimu wako kakudanganya! anazidi kukuingiza chaka!! .... ndg utafute hela mpaka lini wkt wenzako wanazo tayari....km unaipenda saaaana ..njoo nikuunganishe!....hakuna atakaye elewa naona unaingiza gia kijanja! but sha elewa!

uwe muwazi tu!! banaweee!! hayo mambo siku hizi mbona kawaida? ..usiogope hakuna atakaye jua!! labda weye mwenyewe uamue kusema!!..hata kma ukiona vipi KY Jelly itakufaa zaidi! ila tu cha msingi uwe mkaka mavu!
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kula brochette hapo nakuja kukulipia mtoto mzuri,ntakununulia na Jaguar binti mrembo wa hapo Bujumbura.
 
Mzee, kubali wewe ni kilaza pia umekurupuka , Maseru sio gari, ni mji mkuu wa Lesotho

Jaguar Pliza ni a.k.a./jamii ya gari, nenda google utaziona

Wewe Lofa models za Jaguar hakuna hata moja inayoitwa Jaguar Pliza na Kama unajiamini weka hapa screenshot ya hio Gari hapa.Unadhani lugha zenu za kishamba mnazotumia huko Burundi kuita magari zinakua Ni official language?.

Ila warundi mna Maisha magumu Sana mnazamia mpk Lesotho
 
Unaelewa maana ya a.k.a. (also know as) au unaniita lofa tu?
Kama mimi a.k.a. yangu ni Krait, ila nina jina langu halisi linalotambulika tofauti na hilo

Mfano mwingine, Vitz, IST na ndugu zake mnaziita Baby Walker je hilo jina Baby Walker ni Model ya gari?

Nakuelewesha tu, ila kwa kuwa una uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko sisi warundi utaendelea kuniita lofa

Pia usikariri maisha au sehemu ya kwenda kutafuta, kuna baadhi ya maeneo mtu unaenda kutafuta baada ya kujua kuna fulsa/uhaba wa bidhaa fulani, hivyo wewe unachukuwa mzigo unapeleka unapiga pesa bila kuangalia nchi husika ina uchumi mkubwa au mdogo, kule unaingia na kutoka tu, ila wewe mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri unajua kutafuta maisha ni kwenda kuishi na kufanya kazi kwenye nchi tajiri kwa mwaka au miaka sisi hatuna hizo mambo, tunaishi tukiona kama kuna mzunguko mzuri wa biashara pia tuna uhakika wa kutoboa

Burundi kuna Vikoi na Vitenge, na kuna hizi Platnum Sebago, ukizichukulia kule kisha ukapeleka kkoo unapiga pesa nzuri tu (hizi tayari zipo kkoo)

Nakukumbusha, wewe una uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko sisi warundi, ila usikariri katika harakati za utafutaji
 
kAMA anapata laki 3 na anamaliza mwezi na nyingine ana save shida iko wapi??? Australiawakt nasoma, nilikuwa kibarua nalipwa sh.700 miaka flani lkn hiyo ukiibadilisha kwa hela ya Bongo ni takribani million 12 cash! za Bongo!

kwa urafi na mshangao!! nilisave kwa pupa zooote nzima nzima nikawa nakula huk huko kazini nalala kwa clavan-Gari mpaka nilipo maliza yangu nikarudi na mihela si kawaida ndo huo Mghorofa wangu leo nakula kiubwe=teee!!

asante sydney!
 
Napenda sana siku niende Burundi
kutembea na kurelax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…