Maisha bora kwa Mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha bora kwa Mtanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Oct 19, 2010.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,928
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ahadi nyingi zimekuwa zikitolewa na wagombea wa CCM kuwa wataboresha huduma za afya, huku JK naye akisema atapandisha hadhi baadhi ya hospitali kuwa za Rufaa. Huo muda waliokuwa nao walikuwa wapi?

  Sasa angalia maisha bora ya Mtanzania katika picha hapa.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Dah hawaoni aibu hawa jmni wagonjwa wawili wawili mhh
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,531
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Du - Si watawafundisha watu tabia mbaya?
   
 4. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Haaaa haaaaaa tabia mbaya vipi wakati watu washahalalisha kwa raha zao!!!!:A S thumbs_up:
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,457
  Likes Received: 3,342
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli inasikitisha sana, na hapo katoka kwenye kampeni kuwadanganya wananchi kuwa wakitaka maisha bora wachague chama chao.
   
 6. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusijali sana kwani wana"URAFIKI MZURI" na wachina ndio maana wametuletea hospitali yao ili tutibiwe kipindi hiki cha kampeni, baada ya hapo tukafie mbele.
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 7. p

  pierre JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaaaaaaaazi kweli kweli!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,603
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  Halafu PEMBA...ulale na mwanaume mwenzio kitanda kimoja?Akikutoboa spika yako je?
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,225
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kweli hali hiii inasikitisha...! usishangae huyo mgombea wa sisiem kaja hapo na V8 tano ziko nje...!
   
 10. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Muhimbili Hospitali ya Taifa na ya Rufaa wagonjwa wanalala chini. Hivi kitanda cha kulalia bei gani? Wanafunzi wanakaa chini shule za mkoa wa Dar karibu na ikulu. Dawati shilingi ngapi?.

  Chai 30 Bilioni.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,603
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  Unamfunga jela aliyeiba kuku wa 5,000 kwa miaka miwili...kwa siku anakugharimu wastani sh.10,000 times siku karibu 500 ni sh.5,000,000 ambazo ni mara 1,000 zaidi ya thamani ya alichoiba...na unaweza kukuta hawa wezi wachanga wakawa hata 10,000 kwa hiyo ni karibu tshs 50bn/-...je ni vitanda vingapi hapo?(kitanda cha hospitali ni kama tshs 500,000)...laki moja
   
 12. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,928
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Uliyosema ni kweli. Hizi porojo za majukwaani this time hatudanganyiki.
   
Loading...