Maisha bora kwa kila mdanganyika....

Maisha bora kwa kila mdanganyika....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
521384_463290450374727_787257239_n.jpg


Nyumbani ni nyumbani hata kama unaishi kwenye msitu basi nyumbani kuzuri eee mnaonaje nyumba yangu hiyo wabongo? nina taka kugombea ubunge mtanipa kura zenu?
 
Chama cha Jamii Forums Mbunge binafsi asiye na chama Mkuu.@mpole1 Mbunge Mteuliwa wa mwaka 2015 wa chama kitakacho shinda Uchaguzi wa huo mwaka2015.
 
Mmh sikupi kura yangu....ukipata ubunge utajenga bungalow.....
 
Jamaa hapo kaenda kuwatembelea wazee wako hapo MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
tukupe ubunge ili ukaivunje hiyo nyumba ya tembe??makumbusho tutapata wapi??
 
Back
Top Bottom