Jitu Refu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 823
- 812
Kama maisha yako mazuri nenda karipoti tu shida ipo wale watoto wa masikini!Duuuh kwa haya maelezo bora nikatafute boda boda tu niendeshe angalau nitapata buku tano kwa cku.
Kulko kuripot chuo with no mkopo.
njaa haina bondia bro wataolewa tu![]()
![]()
,Hadi wakiume
UsijarbuWanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
Bila mkopo Mkuu hakusomek.Kama maisha yako mazuri nenda karipoti tu shida ipo wale watoto wa masikini!
sasa hayo c mateso.Jiandae kupiga 'RB' za kutosha,jiandae kukaa kwenye vimbweta wenzako wakiwa lunch
warembo wote wa vyuo utawaita shemeji kama mgonjwa wa kisukari
duuuh nilpiga pind kwa nguvu huku nikifaham naenda kula bata university kumbe n vice versa. Ukiwa chuoni bila mkopo unapitia mateso makubwa kama huko kozi ya jeshi ya kuruta pale Makutupola halafu bahati mbaya zaidi unasomea digrii ya american history and civil war. Ahahaha!sasa hayo c mateso.
Yan kushindia maandaz matatu chuon et kisa nachukua degree huu utakua upumbav
Ukiwa chuoni bila mkopo unapitia mateso makubwa kama huko kozi ya jeshi ya kuruta pale Makutupola halafu bahati mbaya zaidi unasomea digrii ya american history and civil war. Ahahaha!
Kupata ajira mpaka Waamerika wote wahamie Mars..!
And trust me kwenye dunia hii ya sasa the more unasoma zaidi ndo more unazidi kuwa kwenye trap na circle ya umaskini. Certificate au Diploma ndo suluhisho then work for yourself.
Mkuu umenifurahisha Sana. Mkuu ww kwel kauzuMimi nilisoma kwa mkopo na nikawa nakaa home. Sikutaka kuiga maisha ya MTU na nilipoanza mwaka wa kwanza niliamua kuwa kauzu.
Nilitafuta kitambulisho cha mwanafunzi nakaa mwananyamala nalipa nauli 100 na sicheki na mtu uso mkavu kwa makonda mana nikiwahi nikichelewa gari za post a nasimama haina haja nilipe nauli ya MTU mzima.
Pili niliamua sitaki demu naweza vaa shati Leo na kesho bila kuwaza mademu wananiwaziaje mana sina time nao
Tatu mchana nilikua sili mara moja moja nakunywa chai na mchana napiga maji ya kutosha kula hadi jioni nikija nyumbani na nyumbani nilikua sipewi hela
Nne baada ya semester tatu nilinunua kiwanja Kigamboni hadi Leo kipo. Square metre 3000.
Tano nilifanikiwa kusoma miaka 3 hapo Posta na ni mwaka wa tatu Niko kazini.
Sita. Soma hapo juu.
Jibu zuri kabisaKm ulisoma sec billa mkopo basi tayari unayo experience tosha.
Mkuu nilikua zaidi ya kauzu. Smart phone nilinunua nilipomaliza chuo. Material nilikua sinunui nasoma ya wale wajinga wasioelewa kwangu wanakuja nawaelewesha huku nikitumia vizuri mwanya wa material yao. Nayasoma kiukweli na sikupata sap hata moja namshukuru mungu. Nilikua natumia daftari 2 kwa semester nzima na nikiingia library natoka pale wanapozima taa.Mkuu ww kwel kauzu
Hongera kwako Mkuu ss ngoja tuendelee kuisoma nambaMkuu nilikua zaidi ya kauzu. Smart phone nilinunua nilipomaliza chuo. Material nilikua sinunui nasoma ya wale wajinga wasioelewa kwangu wanakuja nawaelewesha huku nikitumia vizuri mwanya wa material yao. Nayasoma kiukweli na sikupata sap hata moja namshukuru mungu. Nilikua natumia daftari 2 kwa semester nzima na nikiingia library natoka pale wanapozima taa.