Mimi nilisoma kwa mkopo na nikawa nakaa home. Sikutaka kuiga maisha ya MTU na nilipoanza mwaka wa kwanza niliamua kuwa kauzu.
Nilitafuta kitambulisho cha mwanafunzi nakaa mwananyamala nalipa nauli 100 na sicheki na mtu uso mkavu kwa makonda mana nikiwahi nikichelewa gari za post a nasimama haina haja nilipe nauli ya MTU mzima.
Pili niliamua sitaki demu naweza vaa shati Leo na kesho bila kuwaza mademu wananiwaziaje mana sina time nao
Tatu mchana nilikua sili mara moja moja nakunywa chai na mchana napiga maji ya kutosha kula hadi jioni nikija nyumbani na nyumbani nilikua sipewi hela
Nne baada ya semester tatu nilinunua kiwanja Kigamboni hadi Leo kipo. Square metre 3000.
Tano nilifanikiwa kusoma miaka 3 hapo Posta na ni mwaka wa tatu Niko kazini.
Sita. Soma hapo juu.
Sio kila mtu kasoma sec ya bweni wapo wengine tumesoma day na tumeingia chuo bila mkopo na hadi tumemaliza hatuna deni na serikali.Secondari unakula palepale na hakuna mahitaji mengi shati mbili unavaa miezi sita hauwezi kulinganisha na chuo
Aseeee mkuu naishi maisha yako tena mimi naenda chuo Kwa gari then kurudi home kwa miguu, pamba narudia sina shobo but lunch napigaga si unajua tena sio unapiga discussion mdomo unanuka njaa na nashukuru Mungu ada iliyobakia nalipa mwenyewe nina selcom machine so harafu ndo kwanza mwaka wa kwanza hivi naisubiri kwa hamu kweli iyo laki 7 nijiimarishe kwenye investment zanguMimi nilisoma kwa mkopo na nikawa nakaa home. Sikutaka kuiga maisha ya MTU na nilipoanza mwaka wa kwanza niliamua kuwa kauzu.
Nilitafuta kitambulisho cha mwanafunzi nakaa mwananyamala nalipa nauli 100 na sicheki na mtu uso mkavu kwa makonda mana nikiwahi nikichelewa gari za post a nasimama haina haja nilipe nauli ya MTU mzima.
Pili niliamua sitaki demu naweza vaa shati Leo na kesho bila kuwaza mademu wananiwaziaje mana sina time nao
Tatu mchana nilikua sili mara moja moja nakunywa chai na mchana napiga maji ya kutosha kula hadi jioni nikija nyumbani na nyumbani nilikua sipewi hela
Nne baada ya semester tatu nilinunua kiwanja Kigamboni hadi Leo kipo. Square metre 3000.
Tano nilifanikiwa kusoma miaka 3 hapo Posta na ni mwaka wa tatu Niko kazini.
Sita. Soma hapo juu.
Chonde chonde ndugu yangu,waambie na wenzako pia kwamba kama mkikosa mkopo msitie mguu chuoni!!Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
Mkuu ilo sio la kuulza n mwendo wa kujiongeza tuChonde chonde ndugu yangu,waambie na wenzako pia kwamba kama mkikosa mkopo msitie mguu chuoni!!
Maisha ya chuo ni tofauti sana na ya secondary, chuoni unahitaji fedha za kula, kuvaa, nauli na stationaries kila siku.
Kama wanaopata tu mkopo hizo fedha za mkopo haziwatoshi je kwa ambae hapati???
km ni mla bata boom alitoshWanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
kama ni mwanamke basi atauza sana mwili wake maana hamna namna. ila kama ni kidume ata bet, piga job sehemu mbalimbali ajazie ada na vipindi vingi atakosa darasani.Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
sikurudi tena ndugu mambo yamekuwA tight now naisomA tu nambA hukU kitaAVipi baadaye ulirudi tena?