"Rafiki Shafiki", whatever it means!
Wengi wamekua pamoja na kusoma pamoja, marafiki wachache sanaukitaka kuona kama una marafiki wa kweli pata shida halafu jiulize ni nani ataweza kukusaidia hiyo shida yako. ndipo utakapogundua kuwa unafahamiana na watu wengi lakini una watu uwezao kuwaita marafiki wachache sana!