UzinziInategemea ni ndoa ya kanisa gani, ndoa za kikatoliki ni mpaka kifo kiwatenganishe, inaweza kuvunjwa na Pope kama kuna sababu maalum (nimezisahau). Mkiachana kinyume na hayo, ndoa ya bomani inahusu.
Wakristo wote acha kubaguaInategemea ni ndoa ya kanisa gani, ndoa za kikatoliki ni mpaka kifo kiwatenganishe, inaweza kuvunjwa na Pope kama kuna sababu maalum (nimezisahau). Mkiachana kinyume na hayo, ndoa ya bomani inahusu.
Ni kweli, Mfalme mwenyewe aliamua kujitenga na kuanzisha kanisa lake. Utaratibu huu wa kuwa excommunicated unaendelea mpaka leonilishawahi kusikia kuwa chanzo cha kuanzishwa kwa kanisa la Anglikana ni baada ya mfalme wa Uingeleza kumuacha mke wa kwanza na kutoka kuoa mke wa pili hivyo kanisa la Roman likamtenga na ndio ikaanzishwa Anglikana,je ni habari hii ni kweli?na kama ni kweli inamaana utaratibu huu bado unatumika mpaka leo au ilikuwa kwa mfalme tuu??kuuliza siyo ujinga
Mungu anachukia kuachana mkuu.Habari.
Naomba Kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali???
Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie Kwenye uzinzi????
Wakristo nisaidieni Tafadhali.
Ni kweli kabisa mkuu, King Henry alipata mabinti kwenye ndoa yake ya kwanza, alitaka mrithi kwahiyo aliomba kibali cha Pope na kukataliwa, kutoka hapo Uingerezeza iliwatesa sana wakatoliki wote ambao hawakuwa tayari kubadili na kwenda Anglican. Hii ndiyo sababu kubwa ya uhasama wa Ireland na England.nilishawahi kusikia kuwa chanzo cha kuanzishwa kwa kanisa la Anglikana ni baada ya mfalme wa Uingeleza kumuacha mke wa kwanza na kutoka kuoa mke wa pili hivyo kanisa la Roman likamtenga na ndio ikaanzishwa Anglikana,je ni habari hii ni kweli?na kama ni kweli inamaana utaratibu huu bado unatumika mpaka leo au ilikuwa kwa mfalme tuu??kuuliza siyo ujinga