Nikweli. Lkn ingesaidia kupush kwa wale wenye idea za biashara.Unapomaliza chuo unakuwa na expectations za hali ya juu..but ukifika kitaa uwanja umeinama ....wazo la kuwapa wahitimu pesa ni zuri but trust me wengi watatumia vbaya....
Boom tu mtu akipata anakuwa mwehu...hapo kaingiziwa 500k ...vp akipewa 4M.. vjn weng wa ki bongo n hadi upitie msotoo flan ndoo huyaelewa maisha...all in all mleta mada kaleta wazo zuri...
Wataenda kushinda kidimbwi hapa dar hawatotoka kwenda hata kusalimia makwaoUnapomaliza chuo unakuwa na expectations za hali ya juu..but ukifika kitaa uwanja umeinama ....wazo la kuwapa wahitimu pesa ni zuri but trust me wengi watatumia vbaya....
Boom tu mtu akipata anakuwa mwehu...hapo kaingiziwa 500k ...vp akipewa 4M.. vjn weng wa ki bongo n hadi upitie msotoo flan ndoo huyaelewa maisha...all in all mleta mada kaleta wazo zuri...
Agiza soda nitalipaKila mhitimu anapoelekea kuhitimu kungewekwa mfumo wa wa kuandika project proposal za entrepeneurshp kuanzia mwaka wa pili wa masomo na zikawa financed na bodi ya mkopo kwa awamu kutokana na ukuaji unaoridhisha,na pesa ya mtaji itolewe kwa phases,hadi kuhitimu tayari projects zinakua zimesimama,lakini pia iundwe tume ya kusimamia hizi projects