Maisha baada ya kifo

asante kwa kunirekebisha ila swali bado lipo pale pale MUNGU wetu anajua kuwa yupi ataenda motoni na yupi mbinguni??na kama anajua kwanini iwepo hukumu na kama hajui inamaana kuna vitu havijui
 
Kawadanganya nani kuna maisha baada ya kifo ?
Tafuteni pesa km mimi navyoteketeza mamilioni kila siku kwa kujirusha viwanja vyenye watoto wakali
kaka usiseme ivo unajua ni bola uamin kuwa yupo ata kama hakuna siku ya mwisho kuliko kutoamini kabsa alafu siku ya mwisho umkute
 
asante ila hili ni somo jipya kabsa kwangu
 
ni kweli, ila mimi namini Mungu alikuwepo yupo na atakuwepo milele

Mkuu jinsi binadam anavoendelea kuishi ndivyo anavyozidi kujua mambo mengi yanayohusu huu ulimwengu
Hv kama wachina wangetutawala inamana tungemuabudu Mungu yupi?
 
Mkuu jinsi binadam anavoendelea kuishi ndivyo anavyozidi kujua mambo mengi yanayohusu huu ulimwengu
Hv kama wachina wangetutawala inamana tungemuabudu Mungu yupi?
swali zuri umenifanya niwaze kitu kipya ila maswala ya imani yanachanganya ni bola mtu ubaki na unachokiamini
 
Kwanza kuhusu mababu zetu mtu wa mwanzo ni Adam nae alikuwa na mfumo wa ibada hivyo wa mwanzo aliyemfuata adam ndio mfumo wake huo utakaomuokoa na moto
2. Kuhusu Mungu kutuumba na kutujua mwisho wetu kwann wengine moton na wengin hawataingia moton Mungu kila kitu anakicontrol ila kimoja tu kakuachia mwenyewe nacho ni NAFSI na hii ikiongoka basi mwili wote umeuongoa n ikikupotosha jua umepotoka mwenyw
 
Na vile vile aliahid hata muadhibu mwanaadamu isippkua kafikiwa na mjumb (mtume) kutok kwake
apo umenishawishi kukuelewa, kwaio inamaana kwamba wale hambao hawakupata habari zake hawata hukumiwa??
 

Unapata shida ya nini kuuliza huku si ufe tu halafu utuletee mrejesho na tupicha twa huko ikibidi.
 
Ukifa umekufa hakuna cha mbingu wa motoni full stop!!
 
Mkuu hii elimu inatokana na uchunguzi,experience au nini?
 
Na vile vile aliahid hata muadhibu mwanaadamu isippkua kafikiwa na mjumb (mtume) kutok kwake

Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)

Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
 
mungu umjua MTU wa motoni na peponi kwa matendo yake.
kila umma utahukumiwa kutokana na ujumbe walioletewa na manabii na mitume.
Kama hawakufikiwa na ujumbe.uenda wakasamehewa.
Mungu anajua zaidi
 
mkuu ningependa kuifatilia zaid hii elimu yako ivo ningependa unisaidie kama una soft copy ya kitabu au link ili niweze kusoma zaid
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…